Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kata marimao na sio ndim kata katikati kama ma3 utapat vipande6 weka chin uvungun chumban na sitting room chomeka karafuu ....hato ingia mbu ndani mwako kamwe.Mbu je??
Thanks, Ntajaribu mkuuKata marimao na sio ndim kata katikati kama ma3 utapat vipande6 weka chin uvungun chumban na sitting room chomeka karafuu ....hato ingia mbu ndani mwako kamwe.
Mimi mamiaka silali na net iyo ndio fukuz mbu ndani kwangu
Asante sana lakini hizo Chuchu mmhKata marimao na sio ndim kata katikati kama ma3 utapat vipande6 weka chin uvungun chumban na sitting room chomeka karafuu ....hato ingia mbu ndani mwako kamwe.
Mimi mamiaka silali na net iyo ndio fukuz mbu ndani kwangu
SijaelewaKata marimao na sio ndim kata katikati kama ma3 utapat vipande6 weka chin uvungun chumban na sitting room chomeka karafuu ....hato ingia mbu ndani mwako kamwe.
Mimi mamiaka silali na net iyo ndio fukuz mbu ndani kwangu