DOKEZO MOSHI: Wafanyabiashara wagoma kuuza mafuta

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'

Robot la Matope

JF-Expert Member
Joined
Apr 10, 2015
Posts
8,174
Reaction score
16,794
Kuanzia Marangu Mtoni hadi Rombo Tarakea wenye vituo vya mafuta wamegoma kuuza mafuta.

Wanaoelekea njia hiyo wahakikishe wamejaza mafuta ya kutosha.

Magari yamepaki njiani Mengi inabadi watu wafuate mafuta Last, Na Letoktok Kenya. Mkuu wa Mkoa, Nudrin Babu ingilia kati jambo hili ila mambo yaende sawa.

Ole Mushi
0712702602

My Take: J Makamba ana kitu atatufikisha mbali

 
Mama mtulivu
 
Makamba anaupiga mwingi
 
Kwa nini?
 
Ni makamba au huyo bibi ndo mwenye shida
 
Kwa kweli mama anaupiga mwingi "in chadema voice"
 
Umeme wenyewe tangu alfajiri mpaka sasa haujaonekana mji mzima
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…