Robot la Matope
JF-Expert Member
- Apr 10, 2015
- 8,174
- 16,794
Kuanzia Marangu Mtoni hadi Rombo Tarakea wenye vituo vya mafuta wamegoma kuuza mafuta.
Wanaoelekea njia hiyo wahakikishe wamejaza mafuta ya kutosha.
Magari yamepaki njiani Mengi inabadi watu wafuate mafuta Last, Na Letoktok Kenya. Mkuu wa Mkoa, Nudrin Babu ingilia kati jambo hili ila mambo yaende sawa.
Ole Mushi
0712702602
My Take: J Makamba ana kitu atatufikisha mbali