Salary Slip
Platinum Member
- Apr 3, 2012
- 49,390
- 152,301
Ukishakalia kigogo unawaza watu wafewanagombania kukanyaga nini? shubamitii bora yafe tu walah
Adhabu ya muuaji ni kuuawa na yeyePamoja na Mungu kuendelea kuwaumbua hawa manabii wa uongo lakin mijitu imeendelea kuzba macho na maskio yao. Alianza kumuumbua Mzee wa upako,akaja Gwajima na sasa Mwamposa. Chaajabu wiki ijayo ukienda kanisani utakuta mijitu bado imejaa ikisubiri kununua mafuta ya upako.
Sjui Mungu atumie mbinu gani kutuonyesha kuwa hawa ni manabii wa uongo?
Sent using Jamii Forums mobile app
Subiri Vyombo vya dola vifanye kazi yake,kibali mwisho ilikuwa saa 18:00 yeye aliendelea hadi usiku.
Nilikuwepo siku ileNakumbuka Mwakasege aliahirisha Mkutano wake pale karimhee baada ya kuona nyomi ya watu ni wengi sana
Kuwa mkristo siyo hoja ya mashiko. Hata baadhi ya malaika waligeuka kuwa shetani, sembuse mkristo tu!! Vijikanisa vyote vinavyoendekeza kujifanya vinatoa tumiujiza ujiza ni vijikanisa uchwara na vingi vinatumia nguvu za giza ili kujipatia ufahari hapa dunia badala ya kuwaambia watu ukweli.Reading between the line unaonekana wazi wazi una chuki binafsi, he/she goes "Mwamposa katoa kafara maisha ya watu wasio na hatia, tena mwanzoni mwa mwaka" unarudia ngojera za waganga wa kienyeji wanao practice RAMLI CHONGANISHI, FYI Mwamposa ni mkristo - kama unafikiri Mwamposa ni mfuga majini no body will take you seriously save your like mind.
Reading between the line unaonekana wazi wazi una chuki binafsi, he/she goes "Mwamposa katoa kafara maisha ya watu wasio na hatia, tena mwanzoni mwa mwaka" unarudia ngojera za waganga wa kienyeji wanao practice RAMLI CHONGANISHI, FYI Mwamposa ni mkristo - kama unafikiri Mwamposa ni mfuga majini no body will take you seriously save your like mind.
"Sijafanya mauaji, bali nilikuwa katika kutangaza na kuponya kupitia ufalme wa Mungu. Hakuna kafara pale bali muda wao uliisha na wameitwa na Bwana Yesu watakakoishi milele.
Najiandaa niende nikajisalimishe Polisi Moshi. Bwana ametoa na bwana ametwaa" Mch. Mwamposa
Kwahiyo mwamposa ni roho mtakatifu πππDhambi isiyo samehewa ni ya kumkashifu roho mtakatifu (Marko 3:22-30)
Ndugu zangu kwenye hili tuwe makini hasa kipindi hiki ambacho tumewapoteza wenzetu huko Moshi.
Sent using Jamii Forums mobile app