Moshi: Watu 20 wapoteza maisha kwa kukanyagana kwenye Ibada ya Mwamposa; Polisi wathibitisha kumshikilia

Kwameh,
Just a few curious points:-

- Than why was Mwamposa's posters pasted all over the areas plus the stage? and even if the permit was provided to another

person does that exonerate Mwamposa?
- Within that context, if Mwamposa guided the attendee's to step on the oil does that also exonerate him?
 
Biblia inasema "mtawatambua kwa matendo" lini kilicho kitakatifu kimwagwe chini ndo kitakase watu???? Harafu mwangalieni huyu hats katika matamshi yake ya mwisho.

Tapeli tu huyo ila watanzania tuache kuabudu ishara , ishara haziponyi, Wala kutakasa mbinguni hatuendi kwa ishara. Mungu aturehemu ndugu zangu hakika ufunuo was yohana unaendelea kujifunua . Mungu atusaidie.

Amina
 
Waumini wenzangu wa dini mbalimbali. Zingatieni hili. Enzi za miujiza zimeshapita na akina mtume Nuhu na safina yake.

Kuna wakristian ambao mioyoni mwao hawaamini Mungu wala uwepo wa Mungu. Lakini wanatamani sana wangeamini. Hawa ndiyo wanaotamani miujiza kila siku ili wapate kuamini.

Majizi nayo yanajua kama kuna watu wa aina hii. Majizi hayo kila siku wanaahidi miujiza au wanafeki miujiza ili kuendelea kuwaibia wajinga hawa wasioamini Mungu na wanataka waone miujiza ili wapate kuamini.

Acheni ufala ndugu zangu, miujiza ya kimitume imekwisha, hakuna tena.
 
Wanawake wenzangu its high time tuanze kutumia akili kidogo tu tulizopewa badala ya hisia katika kila kitu. Kwanini sisi ni victim wa kila kitu. Pathetic!
 
Wanawake wenzangu its high time tuanze kutumia akili kidogo tu tulizopewa badala ya hisia katika kila kitu. Kwanini sisi ni victim wa kila kitu. Pathetic!


Wa kuwalaumu siyo Wanawake, ni Wanaume, Dunia nzima Jamii zilizostaarabika ni jukumu la Wanaume kulinda Wanawake, kwani Wanawake ni dhaifu na siyo stable na kwa sababu Wanaume wa TZ wameshindwa kuwalinda na kuwatetea Wanawake matokeo yake Wanawake wanahangaika, huku na kule wakitafuta majibu, wameachwa wenyewe.

Wanaume wa TZ ni failure through and through!
 
You right 👍
Kibali aliomba akapewa? Kama aliomba na hakupewa aonyeshe then case ibebeshwe polisi Moshi.na kama anacho why hakupewa polisi wa kuchunga usalama?
Kwani alipewa kibali cha kukanyagisha watu mafuta? Kibali unapewa cha kuhubiri, na si vinginevyo. Hayo mafuta afungue duka awauzie hao wajinga siyo kuwakanyagisha ona sasa amewatoa kafara!
 
Yamkini video hii inweza amsha fahamu za baadhi ya watu ambao fahamu zao shetani amezipiga upofu.Tazama hii video
Huko ni South Africa ,Tanzania is not an exception
 
Tar 13 Dec 2024 Mwamposa ametangaza kuna huduma ya kukanyaga mafuta.

Tunaomba vyombo vya kiserikali vinavyohusika kusimamia taasisi za kidini ,wamwambie Mwamposa aweke utaratibu mzuri ambao hautasababisha maafa/vifo , vyombo vya ulinzi viwepo na wapange foleni kwenda kukanyaga hayo mafuta na si kukimbizana kiholela.
 
Duhh. Haya mambo bado yanaendelea?
 
Mwisho wa mwaka muda wa kutoa kafara huu
 
Hili lilikuwa kafara proper,no wonder usanii wake unefikia kiwango cha juu sana.The stupid and foolish see him as a man of God,the intelligent and discerning see him as an agent of the Devil.
 
Huyu TAPELI WA KIROHO ANASUMBUWA MNO!
 
Tena ni Friday the 13th, imekaa kimkakati sana…
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…