Moshi: Watu 20 wapoteza maisha kwa kukanyagana kwenye Ibada ya Mwamposa; Polisi wathibitisha kumshikilia

Wameangamia kwa kukosa maarifa. Mafuta ya upako yana tofauti gani na irizi za waganga wa kienyeji?
Ifike mahali serikali ilinde raia wake dhidi ya utapeli wa kidini.

Serikali ya CCM Mpya inapenda aina hii ya ujinga.
 
Hawakuelewi sasa wenzio

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ama kweli maisha yamekuwa magumu , wachaga nao wameingiwa na roho za kutaka utajiri pasipo Fanya kazi?
 
Maji ya upako, mafuta ya upako, maji ya baraka na mambo kama haya ni utapeli kama utapeli mwingine.

Huyo jamaa afunguliwe mashitaka ya uzembe na kusababisha vifo.

Mahubiri mwisho ni sa 12, yeye usiku alipata wapi kibari cha kuhubiri na kumwaga mafuta?

Watu 20 ni wengi sana, ashughulikiwe haraka sana.

Hivi mtu una akili zako timamu unauziwaje maji au mafuta unaambiwa ni ya baraka, mara maji ya mto jordan, mara sijui ujinga gani.

Mambo mengine bwana.
 
Pamoja na Mungu kuendelea kuwaumbua hawa manabii wa uongo lakin mijitu imeendelea kuzba macho na maskio yao. Alianza kumuumbua Mzee wa upako,akaja Gwajima na sasa Mwamposa. Chaajabu wiki ijayo ukienda kanisani utakuta mijitu bado imejaa ikisubiri kununua mafuta ya upako.

Sjui Mungu atumie mbinu gani kutuonyesha kuwa hawa ni manabii wa uongo?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sad


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Nitabezwa sana na wenye ufahamu mdogo lakini hilo lilifanyika kama kafara.. Na mwenye hiyo siri ni mhusika mkuu
Jr[emoji769]
 
Dhambi isiyo samehewa ni ya kumkashifu roho mtakatifu (Marko 3:22-30)
Ndugu zangu kwenye hili tuwe makini hasa kipindi hiki ambacho tumewapoteza wenzetu huko Moshi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nime Sadiki Maneno Ya Dk. William M.Tanzania Wa USA America
Jr[emoji769]
 

Unyonge na Umaskini ndiyo malipo yake hayo.
 

Attachments

  • 2292603_IMG_20200201_135350.jpeg
    36.7 KB · Views: 1
  • 2292739_tapatalk_1580554635924.jpeg
    87 KB · Views: 1
Wanajua mafuta ndio tegemeo lao au inakuaje?


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Maisha magumu watu wanaona pengine wataponea kwa manabii japo wengi ni manabii wa uongo.

Nawaza walikuwa wanamtumikia Mungu gani ambaye hawezi hata kuzuia vifo vya watu kukanyagana?? I guess it was a satanic mass.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…