Drone Camera
JF-Expert Member
- Jul 25, 2017
- 14,041
- 13,907
Si nasikia wana ATM hadi za mafuta,maziwa,maji,chai.... Wachaga mnakwama wapi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wameangamia kwa kukosa maarifa. Mafuta ya upako yana tofauti gani na irizi za waganga wa kienyeji?
Ifike mahali serikali ilinde raia wake dhidi ya utapeli wa kidini.
Nakuona umeweka dp ya Nikola Tesla kwamba watumie akili kama nikola teslaAfricans tuna shida sana mkuu
Yaani freedom ya kwanza tunayotakiwa tuipate ni freedom of mind
Our minds are entangled
Sent using Jamii Forums mobile app
Hawakuelewi sasa wenzioUjinga mwingi tu, you can't believe!
Huyu mchungaji Mwamposya alikuwa hapa Moshi few months ago. Alitengeneza 'mpunga' wa kutosha, kisha amerudi kuchukua mpunga tena. Nonsense!
Anacheza na minds za Wachagga kuhusu uhaba wa ardhi na ukosefu wa ajira.
Unanunua mafuta ya alizeti kisha unamwaga ili upate baraka. Ujinga.
Sent using Jamii Forums mobile app
Waumini 18 wa Dini ya Kikristo wamefariki dunia usiku huu mjini Moshi, wakati wakikanyagana kugombea kukanyaga mafuta ya upako katika kongamano la kidini la Mtume Boniface Mwamposa, DC wa Moshi Kippi Warioba amethibitisha
Updates: 00:45
Idadi ya watu waliopoteza maisha kwa kukanyagana imefikia 20 na uenda idadi hiyo ikaongezeka Mkuu wilaya amethibitisha.
UPDATES:
Taarifa zinaeleza kuwa baada ya tukio hilo kutokea Mhubiri huyo alielekea Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro (KIA) akitaka kuondoka, lakini ndege aliyokuwa amepangwa kuondoka nayo ilichelewa (delayed) na ndipo Jeshi la Polisi Mkoa wa Kilimanjaro lilipomtia mbaroni uwanjani hapo
Chanzo: Mwananchi
Duh Mwamposa kawapelekea jam Moshi huko
Any way lbda atawafufua
Ova

Sijakuelewa mkuu! Yaani wamekanyagana wakigombea kukanyaga mafuta au wakigombea kuchukua hayo mafuta?
Mungu tuhurumie Africa
Sent using Jamii Forums mobile app
wachaga wasomi hawakai Kilimanjaro hakuna fursaHata uchagani wapo kumbe wajinga? Mbona huwa mnasema humu kuwa wachaga wamesoma sana? Au hawakuelimika? Pole zao!
Watu 18 wamekufa leo Jumamosi Februari Mosi, 2020 baada ya kukanyagana katika harakati za kukanyaga mafuta ya upako kwenye
kongamano la Mtume Boniface Mwamposa mjini Moshi, DC wa Moshi Kippi Warioba amethibitishaView attachment 1343848
Chanzo:Mwananchi
Watu 18 Niwengi Sana Sana Jamani Tanzania Tunaangamia Kwakukosa Maarifa
Am Speechless [emoji26][emoji26]
Sent using Jamii Forums mobile app
Maisha magumu watu wanaona pengine wataponea kwa manabii japo wengi ni manabii wa uongo.Waumini 18 wa Dini ya Kikristo wamefariki dunia usiku huu mjini Moshi, wakati wakikanyagana kugombea kukanyaga mafuta ya upako katika kongamano la kidini la Mtume Boniface Mwamposa, DC wa Moshi Kippi Warioba amethibitisha