Mtoto halali na hela
JF-Expert Member
- Aug 10, 2012
- 52,160
- 48,974
Wapenda miujiza mmesikia yaliyowapata wenzenu? Nyie endeleeni tu, japo sipingani na maombi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dah! Habari mbaya sana hii.Watu wangu wanaangamia kwa kukosa maarifa. Umaskini ni mbaya sana. Huyo mchungaji akamatwe haraka sana.
Hata Mimi nimeshangaaHata uchagani wapo kumbe wajinga? Mbona huwa mnasema humu kuwa wachaga wamesoma sana? Au hawakuelimika? Pole zao!
Akamatwe kwa kosa gani wakati alikuwa na vibali vyote vya kusanyiko hilo.Huyo mchungaji hata hakamatwi? Kama hayupo kizuizini mpaka sasa basi serikali imeoza, ikafukiwe tu tuendelee na maisha yetu.
Kwanini akamatwe? Hakuwa na vibali? Ameshatoa maelezo take polisi na kwasasa yupo uraiani.Watu wangu wanaangamia kwa kukosa maarifa. Umaskini ni mbaya sana. Huyo mchungaji akamatwe haraka sana.
acha upumbavu ww dogoAisee inakuwaje unanitukana, nimekukosea nini, na kama huamini si wewe, inakuwaje unanitukana? Bro tuheshimiane,
Wewe ni ujinga kweli kama makonda. Kwani wanaoishi Moshi ni wachaga pekee? Ukiambiwa waumini waliokufa ni makabila nje ya Kilimanjaro utashangaa?Hata uchagani wapo kumbe wajinga? Mbona huwa mnasema humu kuwa wachaga wamesoma sana? Au hawakuelimika? Pole zao!
God hana plan za kijinga hivyoPoleni ndugu zetu God's Plan.
Akamatwe ili awatoe huko darini alikowaweka kama misukule au?? Tujiulize, huu ujinga ujinga wa kuuziwa hirizi na pete za kuvuta mali kwenye makanisa, utaendelea hivi mpaka lini?? Ni nini kinawasumbua wa tz hadi kuutafuta msaada wa vitu vya hovyo kama hivi??Watu wangu wanaangamia kwa kukosa maarifa. Umaskini ni mbaya sana. Huyo mchungaji akamatwe haraka sana.