Kujiendeleza ni kitu muhimu. Kwa mfumo wetu wa Tanzania kurua toka (ordinary) Diploma kwenda Masters ni kitu kigumu sana wala sijapata mfano wowote wa hilo jambo. Zamani tulikuwa na Higher Diploma ambayo iliwaruhusu watu kwenda Masters moja kwa moja. Hivyo basi itakubidi utafute na kupata first degree kabla ya Masters. All the best.