Mosomo ya masters degree

Mosomo ya masters degree

Kujiendeleza ni kitu muhimu. Kwa mfumo wetu wa Tanzania kurua toka (ordinary) Diploma kwenda Masters ni kitu kigumu sana wala sijapata mfano wowote wa hilo jambo. Zamani tulikuwa na Higher Diploma ambayo iliwaruhusu watu kwenda Masters moja kwa moja. Hivyo basi itakubidi utafute na kupata first degree kabla ya Masters. All the best.
Asant mkuu
 
Sijawahi sikia mtu katoka diploma akaenda kusomea masters atleast kwa bongo.

Ila kama una nia ya kufundisha vyuo vikuu nenda degree(uhakikishe unapata atleast 3.8gpa) then uunge masters (na master upate atleast 4.0gpa) all the way to PhD.

Mfumo ulikuwepo nadhani upo hadi sasa. unakuw na diploma, unafanyakazi miaka 6 then unasoma postgraduate miezi 18 na masters miezi 24

Tafuta prospectus za vyuo mbalimbali soma requirements za Postgraduate diploma utaelewa
 
Back
Top Bottom