We ni mpumbafu nimekupa majibu unaleta ushoga wako hapa, unapo uliza swali stick to the 👉
Haya nakujibu hili swali unauliza Mtume Muhammad aliwasalimisha majini kwa umbo gani. Kwanza elewa Mtume Muhammad huwezi kumfananisha na watu kama mimi na wewe. Mtume anaona vitu ambavyo wewe huwezi kuviona na binadamu wengine.
Pili jini anaweza kuja kwa njia ya binadamu, mnyama, nyoka na etc. We unashangaa Mtume Muhammad kuwasalimisha majini, hujashangaa Mtume Suleiman ambaye mnamuita King Suleiman akiongea mpaa na sisimizi 😄 🤣
Kuzeni akili zenu ndio mana mlipo ona miujiza ya Yesu, mkamuita Mungu au mtoto wa Mungu kwa ufala wenu.
Usishangae fimbo ya Mussa kugeika kuwa nyoka, ukashangae Mtume Muhammad kuona majini wakiwa kwenye umbo la ubinadamu, kondoo, punda, nyoka. Swali vipi Mussa alishika nyoka au alikuwa mchawi kama alivyo sema Firauni na wachawi wake.
Usishangae Mtume Ibrahim kutupwa ndani ya moto na hakungua, ushangae au uone ajabu Mtume Muhammad kuwasalimisha majini? Kasome vitabu upate akili Mungu aliumba Majini na Binadamu wamuabudu, ndio mana Shetani alilaniwa hakufata alicho amrishwa na Mungu afanye. Mana ya kumuabudu Mungu ni kufata amri zake. Kwa hio wako binadamu ni mashetani kama vile wewe na wako majini wamejisalimisha kwa Mungu kwa kutii amri zake. Warabu wanasema moto hauzai moto unazaa majivu kwa hio sio kila jini ataenda motoni na sio kila binadamu ataenda peponi.