Mossad, IDF pamoja kusaidiwa na Marekani na Uingereza wameshindwa kuwarudisha mateka kutoka Gaza, atayekaleta mateka kupewa $5M

Mossad, IDF pamoja kusaidiwa na Marekani na Uingereza wameshindwa kuwarudisha mateka kutoka Gaza, atayekaleta mateka kupewa $5M

Mi cjui ila naona maiti kila mahali Gaza. Na kichapo bado kibichi japokuwa dunia nzima inapiga kelele waawasamehe maana hata maji na chakula hawana achilia mbali maisha
Sijaona sehemu duniani wanayosema Israel iwasamehe Hamas...ila nnachoona ni watu duniani kuwasema Hawa taifa teule kwa kuua wanawake maelfu na watoto bila plan....Sasa kama ushindi wa kwny vita ni kuua wakinamama na watoto basi hlo wameshinda ila kama ni kuua wanajeshi na magaidi basi kwny hili naona taifa teule wameshindwa maana hawatapata mateka na bdo Kila siku Gaza wanaangushwa na wao.....Sasa kipi kimefanikiwa....Lebanon kajaribu kuingia kwa miguu kaishia kukimbizwa🤠🤠🤠....ukiqngalia mwsho wa hii kitu unaona kabisa.....Bibi atatolewa kafara kwa kutolewa kwny hyo nafasi Ili vita viishe...magaidi wamemshinda bado mpk jana kwny bunge lao watu hawataki hata kumsikia....baba yake wa kambo kaikimbiza aircraft carrier yake manaa houthi wameidunda....ni tafrani
 
Riwaya nyiingi mi nimekuuliza swali dogo inakuwaje mashoga wanawapa kichapo waarabu wote kama hao waarabu sio mdebwedo zaidi.

waarabu wote ni hamas na hizbullah?? Umesahau wanasaidiwa na mungu wao Marekani na Nato ??
 
Baba Yao wa kambo yule tunayeambiwa mbabe namba moja duniani ameondoa ile air craft carrier yake kule kwa wayemeni...ni taarifa mpya....walisema ile kitu haikubutuliwa🤠🤠🤠...ila kumbe ilibondwa aisee....wale jamaa wa Yemen ni jeuri....mm huwa nikimuona yule kamanda wao msemaji wa jeshi huwa namsikiliza kwa makini maana huwa hatanii anqchokisema....hivi vita vikiisha Kila mtu atakaa kwa kutulia na kumuheshimu mwenzake....mambo mengi sana yamefichuka
Wameipiga vizuri sana mimi nayo picture yake ngoja nikuwekee.
 

Attachments

  • IMG-20241118-WA0062(1).jpg
    IMG-20241118-WA0062(1).jpg
    110.2 KB · Views: 1
Wewe na Hamas tumuamini nani? Wamepelekwa kupitia wapi
Wakati njia zote zinathibitiwa na Israel.

Hamas wanasema mateka wapo Gaza, na wapo tayari kuaachia kama masharti yao yatakubaliwa

Kama unajua walipo kachukue hiyo Dola milioni 5.
Hiyo hela hata mm ningewaonyesha
 
Wakiwaleta mateka wanakosa legitimacy ya kuendelea kuwaua magaidi, halafu kumbuka utakosa habari tutarudi kwa Mama anaupiga mwingi.

Unaweza kuna wao ndio wanawashikilia mateka, na hawawarudishi ili waendelee kuwa na kibali kuwafukua magaidi huko ardhini na mapangoni.
Story za kufikirika waachie akina mama akifikiria mume wake anatembea na mahawara hapa ni facts through data
 
Angetumia hii mbinu mapema angewapata hao mateka wake katumia nguvu kaona mwishoni ndio atumie akili..
 
Wanaukumbi.

Ni aibu kubwa IDF jeshi ambalo tuliaminishwa kuwa lina kila kitu makomandoo bora kabisa duniani na majingambo ya Netanyahu kuwa tunaingia Rafah kuwarudisha mateka wetu haamna wa kutuzui leo hii Waziri Mkuu wa Israel Netanyahu anasema Israel inatoa zawadi ya $5m kwa yeyote atakayemrejesha mateka kutoka Gaza.

Kwa maaan hiyo jeshi limeshindwa, Mossad, wameshindwa, Marekani na Ulaya wameshindwa.

Sasa wanawaomba wale wanaowapiga mabomu na kuuwa watoto wao leo hii wanataka wawasadie kuwapa pesa wawaonyeshe walipo mateka watawapa pesa.

Hamas, walisema kweli kuwa hata mfanye nini hamuwezi kuwapata mateka wenu.


NI AIBU KWA ALLAH NA MUDI PAMOJA NA WAISLAM BILLION 2 KUSHINDWA KUIFUTA TAIFA TEULE LA ISRAEL.

YAANI ALLAH MUNGU WA KIARABU MUNGU MUWEZA WA YOTE ANAOGOPA WAYAHUDI?

Adiosamigo ITR gTurn
 
Naona huo ni ushindi mkubwa wa waarabu yaaani kushikilia mateka japo wanakufa maelfu
 
NI AIBU KWA ALLAH NA MUDI PAMOJA NA WAISLAM BILLION 2 KUSHINDWA KUIFUTA TAIFA TEULE LA ISRAEL.

YAANI ALLAH MUNGU WA KIARABU MUNGU MUWEZA WA YOTE ANAOGOPA WAYAHUDI?

Adiosamigo ITR gTurn

Kwenu Ni sifa kwa sababu walimkamata mungu wako na kijana akiwa uchi na chupi kaweka begani kule vichaka vya bustani ya gesthemane , wakampiga kende wakamsulubisha na kumpa ile vinegar iliyo na sumu wakamuuwa ndivyo mnavyotuambia
 
nyinyi si wateuliwa wa <mungu ?+ inakuwaje msaidiwe na Mmarekani na West yote ?? au hao ndio waungu waliowateuwa
Vip Russia imepunguzq msaada? Kwa kukusaidia uelewa, daima Mungu anawatumia watu kukusaidia.
 
Yaan mtu aue watu elfu 43 halafu wewe bado uone 100 ni muhim kuliko kinachoendelea hapo Gaza.
We si ndi wale huwa mnasema Allah yuko wapi? Hivi wewe unadhani Mungu anawatest watu wakati upi? Wakati unakula bata au wakati unapata tabu? Hebu niletee Mitume wa Mungu nani alikula bata bila kupitia tabu? Unajua Mungu hata waislamu huwa anawapa mitihani kama hio ili awaonyesheni nani ni mfata dini kweli na nani mnafiki. Huwezi kwenda peponi wewe hujapitia mitihani ndio mana pepo ina daraja kama hujui.

Hao hata wawe 100,000 ni bora wabaki duniani au waende peponi?

Akili mali sana eti ushindi ni kuwauwa watu we hujui hao walio uliwa Mungu anawapenda wameuliwa bila hatia? Hivi wewe watoto na wanawake unawahesabu ndio Hamasi 😄 🤣 Akili zako kama za nyau anajisifu mwamba kujitoa yuko Gaza kumbe anaishi kwenye bunker sa ivi.
 
Back
Top Bottom