Mossad, operation bayonet: Jinsi kisasi kinavyoweza kuwa njia bora ya kupata haki yako

kwa kuwa cjakuunga mkono kwenye kuwasifia mossad sio..haya
No. Ila kwa sababu ungekuwa unafuatilia hizi operation walizifanya wao na mataifa mengine hawakujua. Kuna post hapo juu nimeweka kama ungeisoma ungejua hata CIA walipoidaka moja kati ya target alikuwa Agent wao wakamsaidia kupona ingawa baadae Mossad walimpata.

Sasa statement yako inaonesha aidha ni mweupe ktk eneo husika au la basi una lako jambo dhidi ya Mossad/Israel.

Kama unadhani assesment yangu haiko sawa, basi counter na ushahidi.
 
Kuna mmoja ninemsahau jina sikumbuki kama na yy ilikua ni black september ama la. aliuliwa na sniper wa mossad aliyeubukia kutoka kwenye maji (baharini)maana nyumba yake ilikua iko pembezoni mwa bahari.. alikua na wenzake wanakula dinner nyumbani kwake, sniper akaibuka kutoka kwenye maji akampa za uso (risasi zilipitia dirishani) akazama akatoweka zake. unakumbuka hili tukio??

Huyo ni Muhammad Suleiman ambaye alikuwa ni Jenerali wa Jeshi na mshauri wa masuala ya ununuzi wa silaha nchini Syria. Aliuawa na makomandoo wa kiisraeli (kikosi cha Shayetet matkal) walio ogelea baharini mpaka kwenye beach resort alikokuwa na marafiki zake mwaka 2008 akipata chakula cha usiku baada ya kugundua kuwa anahusishwa na mpango wa nchi yake kutaka kuanza mchakato wa kutengeneza silaha za nyuklia kupitia nchi ya Korea ya Kaskazini.
 
hzo post zako hazijaonesha uchunguz walifanyaje had wakapata hyo list,umeonesha tu walipata list,wakaplan execution,wakalipa kisasi,wameua hadi mtu asiehusika,huoni kama wako reckles,hzo intel hununuliwa,na kwa ukibaraka wa israel kwa marekani itakua walipewa,miaka 8 bdae..means marekani hawakuwa na haja nae
 
usi hangaike kupoteza mb zako kwa kubishana nae uyo hakuna analofahamu katika ulimwengu wa kijasusi akae na ujinga wake ivo ivo
 
Hahahaaa. Nadhani huyu member hapa chini yuko sahihi. Intelligence forum with Perhaps, May be, I think so.
🙁🙁🙁

usi hangaike kupoteza mb zako kwa kubishana nae uyo hakuna analofahamu katika ulimwengu wa kijasusi akae na ujinga wake ivo ivo
Kwa kweli!
 
Asante mkuu , masahihisho yamenijaza nyama
 
usihangaike na watu wa aina hii . ni wale wenye allergy na Israel. Yaani hata wakiona waisrael wanatembea juu ya maji atasema wanawatimulia mavumbi. au watasema ni kwa sababu waisrael ni wepesi sana hawana uzito.
yu just let her/him be. tuendelee sisi tunaofaham mambo haya ya intelejensia. anayepinga weledi wa israel katika ujasusi ni mwenye mtindio wa ubongo. lile TAIFA TU KUWEPO PALE LILIPO LIKIWA LIMEZUNGUKWA NA MAADUNI INATOSHA KUONA KUWA SI TAIFA DOGO. INTELEJENSIA YAKE WAULIZE WAMISRI WATAKWAMBIA hasa katika six day war

Utakuwa mweupe eneo hili boss. Au hata haujasoma post tangulizi?
 
Mkuu uliloongeani sawa kabisa kuna mijitu inabisha tu mradi ibishe,hii 6 days war kama unaijua ukaishusha kama alivyoshusha mshikaji Comlex itakuwa poa sana.
 
Hii movie ya munich jamani mwenye uwezo aishushe basi na sisi tupate download
 
nmeshamwambia Chizi Maarifa aishushe amesema muda si mrefu anaileta. ata ku cc pia
Mkuu uliloongeani sawa kabisa kuna mijitu inabisha tu mradi ibishe,hii 6 days war kama unaijua ukaishusha kama alivyoshusha mshikaji Comlex itakuwa poa sana.
 
Haikuwa black semptember huyo ni mtaalam wa nyuklia wa Syria
 
Ajali kazini
 
 
Na wale wa upande wa pili tupieni maujasusi yenu tujisomee
 
Mossad wana kazi ngumu ya kulinda Israel. TISS wajifunze huko jinsi ya kuwasaka na kuwaadabisha wabaya wetu Tanzania.
 
big up mkuu @ complex upo vizuri......kwa habari za kijasusi....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…