Mtangoo
JF-Expert Member
- Oct 25, 2012
- 6,167
- 5,613
No. Ila kwa sababu ungekuwa unafuatilia hizi operation walizifanya wao na mataifa mengine hawakujua. Kuna post hapo juu nimeweka kama ungeisoma ungejua hata CIA walipoidaka moja kati ya target alikuwa Agent wao wakamsaidia kupona ingawa baadae Mossad walimpata.kwa kuwa cjakuunga mkono kwenye kuwasifia mossad sio..haya
Sasa statement yako inaonesha aidha ni mweupe ktk eneo husika au la basi una lako jambo dhidi ya Mossad/Israel.
Kama unadhani assesment yangu haiko sawa, basi counter na ushahidi.