Mossad wafanikisha kuokolewa kwa rubani wa F-15E

inchaji

JF-Expert Member
Joined
Jul 5, 2019
Posts
2,671
Reaction score
5,476
Itoshe tu kusema kuwa kwa miaka 47 ambayo magaidi wa IRGC walikuwa wakizalisha makombora na kuchimba mahandaki kwa ajili ya kuyaficha, Mossad nao katika kipindi hichohicho cha miaka 47 walikuwa miongoni mwa mashuhuda wa mchakato.

Bibi aliwahi kutoa kauli moja ya kibabe sana wakati wa Vita ya Siku 12: "Hakuna sehemu tusiyoweza kuifikia ndani ya Iran".

Mfumo mzima wa magaidi wa IRGC upo mikono salama ya Mossad.

View: https://www.instagram.com/p/DWv18L-GubO/?igsh=eXA0eXN4YnB5b3h3
 
Makomandoo wawili wa Israel kutoka UNIT 5101 ndiyo wameongoza operation nzima wakishirikiana na vikosi vya USA..
SHALGAD na SAREYET MATKIL hawa jamaa ndiyo gumzo kwenye ikulu ya white house

Kwenye vita hii ya Iran marubani wa USA wameshangwazwa Sana na uwezo mkubwa wa Hali ya juu Kwa marubani wa Israel ktk kupiga target na kurudi Israel bila kuangushwa Kwa ndege zao
 
Itoshe tu kusema kuwa kwa miaka 47 ambayo magaidi wa IRGC walikuwa wakizalisha makombora na kuchimba mahandaki kwa ajili ya kuyaficha, Mossad nao katika kipindi hichohicho cha miaka 47 walikuwa miongoni mwa mashuhuda wa mchakato.

Bibi aliwahi kutoa kauli moja ya kibabe sana wakati wa Vita ya Siku 12: "Hakuna sehemu tusiyoweza kuifikia ndani ya Iran".

Mfumo mzima wa magaidi wa IRGC upo mikono salama ya Mossad.

View: https://www.instagram.com/p/DWv18L-GubO/?igsh=eXA0eXN4YnB5b3h3

Unawaita magaidi kwani wamekuulia mkeo? Halafu nyie wagalatia mnapenda kujipendekeza kwa mayahudi au ni kwa sababu mnapenda kushikishwa ukuta
 
Hakuna rubani aliyeokolewa.aidha bado wamejificha huko maporini au wamekufa au wanashikiliwa mateka.
Na ni kweli kwamba Osama naye hakuuliwa bado yupo na anaishi nchini Pakistan vilevile akina Abu Musab na Mohammed Al Baghdad bado wako hai ndio maana ugaidi duniani bado upo.

Hata yule mzee mandevu Ayatollah Ali Khamenei bado yuko hai anajificha tu kwenye mapango ya Tehran. Marekani ni waongo sana.

Jihadists naombeni mnimwagie likes za kufa mtu hapo chini kwa taarifa hii ya ukweli niliyotoa.
 
Hao marubani kama hawajafa watakua wamechukuliwa mateka na jeshi la Iran. Iran Huwa hawana papara kwenye hizi kazi watakua kuwatangazia wiki 3 mbele huko.
Screenshot_20260405-221127.jpg
 
Itoshe tu kusema kuwa kwa miaka 47 ambayo magaidi wa IRGC walikuwa wakizalisha makombora na kuchimba mahandaki kwa ajili ya kuyaficha, Mossad nao katika kipindi hichohicho cha miaka 47 walikuwa miongoni mwa mashuhuda wa mchakato.

Bibi aliwahi kutoa kauli moja ya kibabe sana wakati wa Vita ya Siku 12: "Hakuna sehemu tusiyoweza kuifikia ndani ya Iran".

Mfumo mzima wa magaidi wa IRGC upo mikono salama ya Mossad.

View: https://www.instagram.com/p/DWv18L-GubO/?igsh=eXA0eXN4YnB5b3h3

Hasara tupu na Vifo , sikiliza

View: https://youtu.be/_hSHn-ulJD8?is=GUqRRBJ-VNs8RyYu
 
Back
Top Bottom