Unawaita magaidi kwani wamekuulia mkeo? Halafu nyie wagalatia mnapenda kujipendekeza kwa mayahudi au ni kwa sababu mnapenda kushikishwa ukutaItoshe tu kusema kuwa kwa miaka 47 ambayo magaidi wa IRGC walikuwa wakizalisha makombora na kuchimba mahandaki kwa ajili ya kuyaficha, Mossad nao katika kipindi hichohicho cha miaka 47 walikuwa miongoni mwa mashuhuda wa mchakato.
Bibi aliwahi kutoa kauli moja ya kibabe sana wakati wa Vita ya Siku 12: "Hakuna sehemu tusiyoweza kuifikia ndani ya Iran".
Mfumo mzima wa magaidi wa IRGC upo mikono salama ya Mossad.
View: https://www.instagram.com/p/DWv18L-GubO/?igsh=eXA0eXN4YnB5b3h3
Kobazi bana,nyie mnashikishwa mti?Unawaita magaidi kwani wamekuulia mkeo? Halafu nyie wagalatia mnapenda kujipendekeza kwa mayahudi au ni kwa sababu mnapenda kushikishwa ukuta
Umeshiba zako magimbi unaongea zako loloteHakuna rubani aliyeokolewa.aidha bado wamejificha huko maporini au wamekufa au wanashikiliwa mateka.
Na ni kweli kwamba Osama naye hakuuliwa bado yupo na anaishi nchini Pakistan vilevile akina Abu Musab na Mohammed Al Baghdad bado wako hai ndio maana ugaidi duniani bado upo.Hakuna rubani aliyeokolewa.aidha bado wamejificha huko maporini au wamekufa au wanashikiliwa mateka.
Hao marubani kama hawajafa watakua wamechukuliwa mateka na jeshi la Iran. Iran Huwa hawana papara kwenye hizi kazi watakua kuwatangazia wiki 3 mbele huko.Na ni kweli kwamba Osama naye hakuuliwa bado yupo na anaishi nchini Pakistan vilevile akina Abu Musab na Mohammed Al Baghdad bado wako hai ndio maana ugaidi duniani bado upo.
Hata yule mzee mandevu Ayatollah Ali Khamenei bado yuko hai anajificha tu kwenye mapango ya Tehran. Marekani ni waongo sana.
Jihadists naombeni mnimwagie likes za kufa mtu hapo chini kwa taarifa hii ya ukweli niliyotoa.
Itoshe tu kusema kuwa kwa miaka 47 ambayo magaidi wa IRGC walikuwa wakizalisha makombora na kuchimba mahandaki kwa ajili ya kuyaficha, Mossad nao katika kipindi hichohicho cha miaka 47 walikuwa miongoni mwa mashuhuda wa mchakato.
Bibi aliwahi kutoa kauli moja ya kibabe sana wakati wa Vita ya Siku 12: "Hakuna sehemu tusiyoweza kuifikia ndani ya Iran".
Mfumo mzima wa magaidi wa IRGC upo mikono salama ya Mossad.
View: https://www.instagram.com/p/DWv18L-GubO/?igsh=eXA0eXN4YnB5b3h3
Hii ni kwa mujibu ya madrasa ya pale kwa mtoroHakuna rubani aliyeokolewa.aidha bado wamejificha huko maporini au wamekufa au wanashikiliwa mateka.