JUAN MANUEL
JF-Expert Member
- Nov 26, 2010
- 7,808
- 16,972
Wameshindwa kuokoa mateka Gaza hadi leo , wameshindwa kuishauri serikali yao kuepuka kupata aibu kutokea Gaza hadi sasa maana kuepuka vita ya aibu nao ni ushindi.Muda si mrefu, majasusi, wa, MOSSAD, wamefanya assassination kwenye viunga vya Lebanon, maeneo ya Hezbollah, wamemuua kiongozi, mkubwa wa, Hamas, sasa, ni Vita kila eneo, militarily, na covert operations, ubaya, wake, Hamas, na, wanaomuunga mkono, watalipa kisasi popote yalipo maslahi, ya Israel duniani.
Kazi, ya, intelijensia ndio hiyo, unakuwa, na, mkono mrefu, wakati army wanapigana kwa bunduki kwa kuona na, wewe unakwenda, "behind enemy lines"
Vita ndio kwanza imeanza.
Sio TISS wetu,tunaonyanganya mademu baa, kila siku, wanagombana na daladala, na mbwembwe za kuwasha vingora.
Hahahahahahahhah TISS wa CCMSio TISS wetu,tunaonyanganya mademu baa, kila siku, wanagombana na daladala, na mbwembwe za kuwasha vingora
Unaitamani sana.
Sio TISS wetu,tunaonyanganya mademu baa, kila siku, wanagombana na daladala, na mbwembwe za kuwasha vingora.
Ni kweli hii haina faida yeyote kwenye uwanja wa mapigano.Saleh al-Arouri moja ya waanzilishi na kiongozi wa juu kabisa wa Hamas amelambwa kichwa Lebanon.
Israel covert operations hazitowasaidia muda huu, wakubali wameshindwa basi yaishe, wameshindwa kutumia ujasusi wao kuokoa mateka pale Gaza wanakwenda Lebanon kuua watu.
Sijui wamewaza nini lakini lazima Hamas na Hezbollah wajibu.Ni kweli hii haina faida yeyote kwenye uwanja wa mapigano.
Hamas mwasisi Ahmad Yasini , akina Al rantisi walikuwa assasinated ila leo hii wamepata viongozi wengine wakali zaidi hata hao watapigwa wataibuka wengine wenye misimamo mikali suluhu ni dialogue na two state solution basi ili kuwe na amani ila kuua viongozi wa watu millioni 2 ni rahisi kupata mwingine historia imeonyesha hivyo.Hamas Kuja kushtuka watakuta viongozi wote hawapo na Gaza Imeteketeaš¤
Usijitoe Akili.Sijui wamewaza nini lakini lazima Hamas na Hezbollah wajibu.
Naona kama unawaza kinyume. Sasa hapo Gaza ambapo watu zaidi ya million 2 wapo displaced na hawana chakula mpaka jumuiya za kimataifa zinapiga kelele. Nani kanyooshwa hapo?Hamas mwasisi Ahmad Yasini , akina Al rantisi walikuwa assasinated ila leo hii wamepata viongozi wengine wakali zaidi hata hao watapigwa wataibuka wengine wenye misimamo mikali suluhu ni dialogue na two state solution basi ili kuwe na amani ila kuua viongozi wa watu millioni 2 ni rahisi kupata mwingine historia imeonyesha hivyo.
Hamas ipo tangu 1987, miaka yote hio waje waifute leo, hizo tunaita ni kauli za kuwatia moyo wananchi na kutaka sifa, lakini hawana huwezo kuifuta Hamas.Usijitoe Akili.
Israel tangu tukio la 7 oktoba walisema haya.
1. Kila aliyehusika katika kupanga au kushiriki mauaji ya 7 oktoba popote pale alipo duniani ajiandae kufikiwa na kuuwawa.
2. Operesheni ya sasa huko Gaza imelenga kulifuta kabisa kundi la Hamas.
Katika hali hiyo unategemea kuna kiongozi wa Hamas atakayebakia hai?
Toka 1987 Israel imeua viongozi wengi wa Hamas, ndio maana tunasema hii sio solution, covert opertaion sio wakati wake huu a focus na vita Gaza.Ila kuuawawa kwa huyu jamaa kumewashtua sana hadi kina Ayatollah hawatoki nje. Tena huyu jamaa alikuwa na appointment na Nasrallah bosi wa kundi la kigaidi la Hezbollah kesho jumatano.
Na huyu balozi wa Palestina tz naye awe makini asijiachie tu kina Ponda wanaweza kuwa Mossad.
God bless and protect Israel
ISRAEL FOREVER