Tetesi: MOSSAD wafanya yao

Tetesi: MOSSAD wafanya yao

Lengo la vita destroy hamas and pia kukomboa mateka none has been achieved . ila bado vita sio suluhu dialogue ndio msingi wa amani na ndicho walipaswa kufanya tokea mwanzo ili kuokoa na aibu ya kushindwa.
Hiki ulichoandika kinawezekanaje? yaan nchi ivamiwe, raia wake wauwawe, watekwe, wabakwe halafu baada ya hayo wafanye tu mazungumzo na aliyewavamia? Kwa hiyo Tanzania baada ya kuvamiwa na Uganda ingefanya tu dialogue na Uganda?
 
maoni yangu sijui niweke wapi
anyway
walofanya ni ujumbe kwa viongoz wengine kuwa nao wapo kwenye line moja.
hii inaweza kuwavunja nguvu na kuanza kukimbia kimbia kama panya.

ila ngoja tuendelee kula ugali soon mboga itakuja
 
Muda si mrefu, majasusi, wa, MOSSAD, wamefanya assassination kwenye viunga vya Lebanon, maeneo ya Hezbollah, wamemuua kiongozi, mkubwa wa, Hamas, sasa, ni Vita kila eneo, militarily, na covert operations, ubaya, wake, Hamas, na, wanaomuunga mkono, watalipa kisasi popote yalipo maslahi, ya Israel duniani.

Kazi, ya, intelijensia ndio hiyo, unakuwa, na, mkono mrefu, wakati army wanapigana kwa bunduki kwa kuona na, wewe unakwenda, "behind enemy lines"

Vita ndio kwanza imeanza.

Sio TISS wetu,tunaonyanganya mademu baa, kila siku, wanagombana na daladala, na mbwembwe za kuwasha vingora.

wamekimbia vita Gaza wanaenda kuuwa wazee lebanon
 
Hiki ulichoandika kinawezekanaje? yaan nchi ivamiwe, raia wake wauwawe, watekwe, wabakwe halafu baada ya hayo wafanye tu mazungumzo na aliyewavamia? Kwa hiyo Tanzania baada ya kuvamiwa na Uganda ingefanya tu dialogue na Uganda?
kwani nani kaivamia palestina na kuikalia ??
 
Ina faida kubwa sana, maana yake ni kuwa adui hana pa kujificha.

Sent from my SM-A6050 using JamiiForums mobile app
pia inapunguza moral kwa viongoz na badala ya kufikiria kupgana wanaanza kufikiria usalama wao kwanza

kivita huu ni ushindi. maana wakifankiwa kupga viongoz wote wa juu n kumaanisha hamna vita tena
 
Hiki ulichoandika kinawezekanaje? yaan nchi ivamiwe, raia wake wauwawe, watekwe, wabakwe halafu baada ya hayo wafanye tu mazungumzo na aliyewavamia? Kwa hiyo Tanzania baada ya kuvamiwa na Uganda ingefanya tu dialogue na Uganda?
Kwani. OSLO ACCORD walikubaliana nini au unadhani hii ni issuue ya oktoba 7 ni miaka 75 sasa toka zama za akina fedayin ya arafat and many more mpaka hamas 2024. nenda kaangalie un resolution zinafika hadi 100 juu ya two state solution we unaanza fananisha na uganda na tanzania out of scope huo mfano.
 
Yaani wewe unaleta stories za juzi hapa miaka haizidi hata 100? huo mgogoro ni wa maelfu ya miaka kabla ya hizo UN resolutions unazosema wewe na by the way mwisho wa mgogoro huu unajulikana clearly kabisa nini kitatokea. There is now way Palestines watapata nchi ya Israel hiyo haipo. There is no way two states itakuwa ndo permanent solution. It is fact Israel ni ya jews haijalishi nani anataka nani hataki. Haijalishi watu wanaamini hiki hawaamini.
Ni fact there is no way baada ya October 7 Israel eti angekubal kutokulipa kisasi eti tu afanye mazungumzo na Hamas ilhali raia wake wameshikwa mateka, wameuwawa, wamebakwa katu hii isingewezekana Israel afanye dialogue na hamas ambao wanataka kuifuta Israel?
 
Ni kweli hii haina faida yeyote kwenye uwanja wa mapigano.
Ina boost molary ya waliopo uwanja wa Vita, na inabomoa molary ya upande pinzani,
Just imagine, bongo tuwe vitani na Rwanda, vikosi vipo mstari wa mbele, harafu unasikia huko nyumbani,Director wa wenu wa intelijensia, ameuawa kwa road side bomb! Lazima mavi yagonge chupi
 
Muda si mrefu, majasusi, wa, MOSSAD, wamefanya assassination kwenye viunga vya Lebanon, maeneo ya Hezbollah, wamemuua kiongozi, mkubwa wa, Hamas, sasa, ni Vita kila eneo, militarily, na covert operations, ubaya, wake, Hamas, na, wanaomuunga mkono, watalipa kisasi popote yalipo maslahi, ya Israel duniani.

Kazi, ya, intelijensia ndio hiyo, unakuwa, na, mkono mrefu, wakati army wanapigana kwa bunduki kwa kuona na, wewe unakwenda, "behind enemy lines"

Vita ndio kwanza imeanza.

Sio TISS wetu,tunaonyanganya mademu baa, kila siku, wanagombana na daladala, na mbwembwe za kuwasha vingora.
Wewe is ingekuwa Tiss leo ungekuwa unaandika huo ulojo wako.unapata huo mda wa kuandika kwa sababu kuna watu hawalali ili nchi iwe salama.
 
Saleh al-Arouri moja ya waanzilishi na kiongozi wa juu kabisa wa Hamas amelambwa kichwa Lebanon.
Israel covert operations hazitowasaidia muda huu, wakubali wameshindwa basi yaishe, wameshindwa kutumia ujasusi wao kuokoa mateka pale Gaza wanakwenda Lebanon kuua watu.
Well kwenye vita yoyote kuna option mbili. Ya kwanza ni kujaribu kuokoa mateka, ikishindikana ya pili ni scorching earth campaign upande wa adui, shida ya hii method civilians akikatika katikati basi atakula shaba au atajumuishwa. Ndio kinachoendelea sasa
Hamas hawapati shida ila palestines, hao ndio watakula shida
 
Unawatofautishaje Wapalestina na Hamas?
 
Muda si mrefu, majasusi, wa, MOSSAD, wamefanya assassination kwenye viunga vya Lebanon, maeneo ya Hezbollah, wamemuua kiongozi, mkubwa wa, Hamas, sasa, ni Vita kila eneo, militarily, na covert operations, ubaya, wake, Hamas, na, wanaomuunga mkono, watalipa kisasi popote yalipo maslahi, ya Israel duniani.

Kazi, ya, intelijensia ndio hiyo, unakuwa, na, mkono mrefu, wakati army wanapigana kwa bunduki kwa kuona na, wewe unakwenda, "behind enemy lines"

Vita ndio kwanza imeanza.

Sio TISS wetu,tunaonyanganya mademu baa, kila siku, wanagombana na daladala, na mbwembwe za kuwasha vingora.
Duuh kazi ipo
 
Hiki ulichoandika kinawezekanaje? yaan nchi ivamiwe, raia wake wauwawe, watekwe, wabakwe halafu baada ya hayo wafanye tu mazungumzo na aliyewavamia? Kwa hiyo Tanzania baada ya kuvamiwa na Uganda ingefanya tu dialogue na Uganda?
Kabla ya hapo usisahau aliyevamiwa(Israel) miezi miwili ilopita alikua akichoma mashamba ya watu(Palestina),akivunja nyumba za watu(Palestina)na akikamata hovyo watoto wa watu(Palestina) na kuwaweka jela za jeshi.
Je ulitaka asivamie kulipiza kisasi na kudai haki zake!?
Pia hakuna ushahidi wa Hamas kubaka na hiyo kesi ICJ imefutwa maana Israel ilishindwa kupeleka ushahidi.
Mnadhani hii dunia mtaipumbaza watu kisijulikane kinachoendelea na isijulikane kuwa August Israel alianza vurugu kwa wapalestina!?
 
Back
Top Bottom