Tetesi: MOSSAD wafanya yao

Na huyu balozi wa Palestina tz naye awe makini asijiachie tu kina Ponda wanaweza kuwa Mossad.
Huyo balozi ni Fatah. Yupo chama moja na Mohmud Abasi. Wao pia kiaina wana bifu na Hamas walitimuliwa huko Gaza. Hizi kelele wanazopiga dhidi ya Israel ni geresha tu. Israel ina mpango wa kuwaachia Gaza baada ya Hamas Kumalizwa huko!
 
Huyo balozi ni Fatah. Yupo chama moja na Mohmud Abasi. Wao pia kiaina wana bifu na Hamas walitimuliwa huko Gaza. Hizi kelele wanazopiga dhidi ya Israel ni geresha tu. Israel ina mpango wa kuwaachia Gaza baada ya Hamas Kumalizwa huko!
Asante kwa information. Nilidhani vingine
 
unaandika kama unaijua kazi ya ujasusi , kwamba jasusi anafanya kaz kwenye uwanja wa vita ? jasusi anafanya kaz nyuma ya pazia kwenye eneo tulivu kabisa sio kweny uwanja wa vita
 
Gaza imewanyoosha ombeni amani na mazungumzo ya two state solution mngangania vita haya sasa aibu hiyo kubalini tu .
kwan azimio la mwaka 1948 lilikuwa lipi na nan alilivunja ? hv mnajuwa mnachoshabikia kwanza ? mnaowashabikia hawatak two state solution ww ndo unajikuta una dunia yako yenyr uhalisia tofaut
 
azimio la mwaka 1948 lilikuwa lipi ? nan alilivunja ?
 
Huyu Jamaa, Saleh Al Arouri ndiyo walitumia Waislam wenzao wa Qhamas tarehe 7 October wakafanye mauaji na raping Israel huku walijirekodi ili waje waangalie hizo video

View: https://x.com/DrEliDavid/status/1742232238014505246?s=20
 
sheikh Ponda sio ? hahahaahaaa
 
Hamas ipo tangu 1987, miaka yote hio waje waifute leo, hizo tunaita ni kauli za kuwatia moyo wananchi na kutaka sifa, lakini hawana huwezo kuifuta Hamas.
hata USSR ilikwepo tangu mwaka 1921 ili ilikuja kufanyaj mwaka 1997?
 
Toka 1987 Israel imeua viongozi wengi wa Hamas, ndio maana tunasema hii sio solution, covert opertaion sio wakati wake huu a focus na vita Gaza.
huez muacha krb mtu ambae dini yake inasema myaudi hapasw kuish dunian
 
Hakuna wakati wowote ilishapigwa mabomu kama wakati huu. Ni hasara kubwa sana imetokea huko Gaza ya watu na miundombinu. Hii Itawapa wakati mgumu hata wafadhali wa hao Hamas. Hao pia ni walengwa kwenye hii vita dhidi ya taifa hili la kizayuni!
 
Magaidi na vibaraka wao watasakwa popote pale walipo.
Viva Israeli
 
Ni kweli hii haina faida yeyote kwenye uwanja wa mapigano.

Lakini jamaa yenu amewahishwa peponi.

Anafaidi mito ya pombe na bikira ya 72 wenye macho kama vikombe.
Takbiiiir
 
Naona kama unawaza kinyume. Sasa hapo Gaza ambapo watu zaidi ya million 2 wapo displaced na hawana chakula mpaka jumuiya za kimataifa zinapiga kelele. Nani kanyooshwa hapo?
Lengo la vita destroy hamas and pia kukomboa mateka none has been achieved . ila bado vita sio suluhu dialogue ndio msingi wa amani na ndicho walipaswa kufanya tokea mwanzo ili kuokoa na aibu ya kushindwa.
 
Ponda anaweza kuwa mossad. ha ha ha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…