Hiki ulichoandika kinawezekanaje? yaan nchi ivamiwe, raia wake wauwawe, watekwe, wabakwe halafu baada ya hayo wafanye tu mazungumzo na aliyewavamia? Kwa hiyo Tanzania baada ya kuvamiwa na Uganda ingefanya tu dialogue na Uganda?Lengo la vita destroy hamas and pia kukomboa mateka none has been achieved . ila bado vita sio suluhu dialogue ndio msingi wa amani na ndicho walipaswa kufanya tokea mwanzo ili kuokoa na aibu ya kushindwa.
Muda si mrefu, majasusi, wa, MOSSAD, wamefanya assassination kwenye viunga vya Lebanon, maeneo ya Hezbollah, wamemuua kiongozi, mkubwa wa, Hamas, sasa, ni Vita kila eneo, militarily, na covert operations, ubaya, wake, Hamas, na, wanaomuunga mkono, watalipa kisasi popote yalipo maslahi, ya Israel duniani.
Kazi, ya, intelijensia ndio hiyo, unakuwa, na, mkono mrefu, wakati army wanapigana kwa bunduki kwa kuona na, wewe unakwenda, "behind enemy lines"
Vita ndio kwanza imeanza.
Sio TISS wetu,tunaonyanganya mademu baa, kila siku, wanagombana na daladala, na mbwembwe za kuwasha vingora.
kwani nani kaivamia palestina na kuikalia ??Hiki ulichoandika kinawezekanaje? yaan nchi ivamiwe, raia wake wauwawe, watekwe, wabakwe halafu baada ya hayo wafanye tu mazungumzo na aliyewavamia? Kwa hiyo Tanzania baada ya kuvamiwa na Uganda ingefanya tu dialogue na Uganda?
Ina faida kubwa sana, maana yake ni kuwa adui hana pa kujificha.Ni kweli hii haina faida yeyote kwenye uwanja wa mapigano.
pia inapunguza moral kwa viongoz na badala ya kufikiria kupgana wanaanza kufikiria usalama wao kwanzaIna faida kubwa sana, maana yake ni kuwa adui hana pa kujificha.
Sent from my SM-A6050 using JamiiForums mobile app
Wapalestinakwani nani kaivamia palestina na kuikalia ??
Kwani huyo alikuwa amejificha?Ina faida kubwa sana, maana yake ni kuwa adui hana pa kujificha.
Sent from my SM-A6050 using JamiiForums mobile app
Kwani. OSLO ACCORD walikubaliana nini au unadhani hii ni issuue ya oktoba 7 ni miaka 75 sasa toka zama za akina fedayin ya arafat and many more mpaka hamas 2024. nenda kaangalie un resolution zinafika hadi 100 juu ya two state solution we unaanza fananisha na uganda na tanzania out of scope huo mfano.Hiki ulichoandika kinawezekanaje? yaan nchi ivamiwe, raia wake wauwawe, watekwe, wabakwe halafu baada ya hayo wafanye tu mazungumzo na aliyewavamia? Kwa hiyo Tanzania baada ya kuvamiwa na Uganda ingefanya tu dialogue na Uganda?
Yaani wewe unaleta stories za juzi hapa miaka haizidi hata 100? huo mgogoro ni wa maelfu ya miaka kabla ya hizo UN resolutions unazosema wewe na by the way mwisho wa mgogoro huu unajulikana clearly kabisa nini kitatokea. There is now way Palestines watapata nchi ya Israel hiyo haipo. There is no way two states itakuwa ndo permanent solution. It is fact Israel ni ya jews haijalishi nani anataka nani hataki. Haijalishi watu wanaamini hiki hawaamini.Kwani. OSLO ACCORD walikubaliana nini au unadhani hii ni issuue ya oktoba 7 ni miaka 75 sasa toka zama za akina fedayin ya arafat and many more mpaka hamas 2024. nenda kaangalie un resolution zinafika hadi 100 juu ya two state solution we unaanza fananisha na uganda na tanzania out of scope huo mfano.
Miaka hiyo, may be vipato vyao vya kawaida sana, nimekuwa fundi mchundo mgodini, nilikuwa nalipwa 7.5M take hm!Unaitamani sana
Ina boost molary ya waliopo uwanja wa Vita, na inabomoa molary ya upande pinzani,Ni kweli hii haina faida yeyote kwenye uwanja wa mapigano.
Extremely intelligents in the world.Jews intelligence is next level
Wewe is ingekuwa Tiss leo ungekuwa unaandika huo ulojo wako.unapata huo mda wa kuandika kwa sababu kuna watu hawalali ili nchi iwe salama.Muda si mrefu, majasusi, wa, MOSSAD, wamefanya assassination kwenye viunga vya Lebanon, maeneo ya Hezbollah, wamemuua kiongozi, mkubwa wa, Hamas, sasa, ni Vita kila eneo, militarily, na covert operations, ubaya, wake, Hamas, na, wanaomuunga mkono, watalipa kisasi popote yalipo maslahi, ya Israel duniani.
Kazi, ya, intelijensia ndio hiyo, unakuwa, na, mkono mrefu, wakati army wanapigana kwa bunduki kwa kuona na, wewe unakwenda, "behind enemy lines"
Vita ndio kwanza imeanza.
Sio TISS wetu,tunaonyanganya mademu baa, kila siku, wanagombana na daladala, na mbwembwe za kuwasha vingora.
Well kwenye vita yoyote kuna option mbili. Ya kwanza ni kujaribu kuokoa mateka, ikishindikana ya pili ni scorching earth campaign upande wa adui, shida ya hii method civilians akikatika katikati basi atakula shaba au atajumuishwa. Ndio kinachoendelea sasaSaleh al-Arouri moja ya waanzilishi na kiongozi wa juu kabisa wa Hamas amelambwa kichwa Lebanon.
Israel covert operations hazitowasaidia muda huu, wakubali wameshindwa basi yaishe, wameshindwa kutumia ujasusi wao kuokoa mateka pale Gaza wanakwenda Lebanon kuua watu.
Unawatofautishaje Wapalestina na Hamas?Well kwenye vita yoyote kuna option mbili. Ya kwanza ni kujaribu kuokoa mateka, ikishindikana ya pili ni scorching earth campaign upande wa adui, shida ya hii method civilians akikatika katikati basi atakula shaba au atajumuishwa. Ndio kinachoendelea sasa
Hamas hawapati shida ila palestines, hao ndio watakula shida
Duuh kazi ipoMuda si mrefu, majasusi, wa, MOSSAD, wamefanya assassination kwenye viunga vya Lebanon, maeneo ya Hezbollah, wamemuua kiongozi, mkubwa wa, Hamas, sasa, ni Vita kila eneo, militarily, na covert operations, ubaya, wake, Hamas, na, wanaomuunga mkono, watalipa kisasi popote yalipo maslahi, ya Israel duniani.
Kazi, ya, intelijensia ndio hiyo, unakuwa, na, mkono mrefu, wakati army wanapigana kwa bunduki kwa kuona na, wewe unakwenda, "behind enemy lines"
Vita ndio kwanza imeanza.
Sio TISS wetu,tunaonyanganya mademu baa, kila siku, wanagombana na daladala, na mbwembwe za kuwasha vingora.
Kabla ya hapo usisahau aliyevamiwa(Israel) miezi miwili ilopita alikua akichoma mashamba ya watu(Palestina),akivunja nyumba za watu(Palestina)na akikamata hovyo watoto wa watu(Palestina) na kuwaweka jela za jeshi.Hiki ulichoandika kinawezekanaje? yaan nchi ivamiwe, raia wake wauwawe, watekwe, wabakwe halafu baada ya hayo wafanye tu mazungumzo na aliyewavamia? Kwa hiyo Tanzania baada ya kuvamiwa na Uganda ingefanya tu dialogue na Uganda?