Wameisha tena kutuingiza kwenye migogoro yao hisiyo kuwa na kichwa wala miguu - lengo Mayahudi ni kutaka kuvuruga mahusiano ya Iran na bara la Afrika, mfano: Iran inashirikiana naTanzania kwenye miradi kadhaa - sasa tukija kwenye masuala ya kitalii ya nini kushirikiana na Taifa ambalo masaa yote inawaza/ogopa magaidi wa kweli na wa kubuni tu inatumia woga wao kuharibia sifa mataifa ambayo wanadhani ni sworn enemies wao kwa bahati mbaya western media nazo zinakuza sana propaganda za Wayahudi - hapo wataisema vibaya Iran mpaka tukome.
Kweli Taifa letu tunakaribisha watalii, lakini tusiendekeze watalii ambao wata end up kuwa liability kwetu huku tukijidanganya kwamba vyombo vya kijasusi vya Taifa hilo ni mahili sana kudeal na magaidi - wewe unafikiri potential watalii kutoka Amerika na Ulaya wakisikia eti wagaidi walikuwa na mipango ya kufanya ugaidi nchini Tanzania na kwingineko kwa lengo la kuwadhuru Watalii wa Kiyahudi, ni mtalii gani atakuwa na shahuku ya kutembelea vivutio vya kitalii Tanzania ambako usalama wao siwakuaminka!
Kama kuna ulazima wa kuwaleta watalii wa Israel nchini mwetu kwa nini hawaji kimya kimya bila ya publicity stunts kwenye media - mbona mamillionea kutoka huko Amerika utembelea vivutio vya kitalii nchini mwetu kimya kimya tu - mnashindwa nini kuwapa mashariti Wayahudi kwamba katika ujio wao nchini kwa ajili ya usalama na kulinda biashara zetu za kitalii ,basi waje kimya kimya bila ya kujitangaza, halafu wasitu letee rivaly baina yao na Iran kwa kuwaogopesha potential tourist kutoka Mataifa mengine kuja kutembelea Tanzania wakiigopa magaidi kwa kuwa kasema Israel.
Bottom line, is: Tanzania tuwe makini na ugomvi na hujuma zinazo endelea baina ya inchi hizi mbili yaani Israel na Iran ushindani/ugomvi wao husije ukatugharimu dearly in terms of tourism industry nchini mwetu siku za usoni, idadi ya watalii inaweza ikapunguwa watalii wasipo kuwa na uhakika kuhusu usalama wao nchini mwetu.