PERAMIHO YETU
JF-Expert Member
- May 25, 2018
- 6,288
- 17,333
Mchezaji wa Singida Black Stars Mossi Nduwumwe amefikisha mabao 12 msimu huu baada ya kufunga hat-trick yake ya kwanza, ambayo pia ndiyo ya pekee hadi sasa katika Ligi Kuu Tanzania Bara.
Wengi wanajiuliza, ingekuwaje kama mchezaji huyo angekuwa anatokea kwenye moja ya timu mbili zenye mashabiki wengi nchini? Huenda vyombo vya habari na mashabiki wao wasingelala usiku wa leo wakisifia mafanikio hayo.
Katika mchezo huo, Singida Black Stars iliifunga Dodoma Jiji kwa mabao 5-0.