Wadau naomba kuuliza Local TV channel gani hapa nyumbani Tanzania inakusisimua na kazi zao ( creativity )?
Mpaka sasa hakuna.........Wadau naomba kuuliza Local TV channel gani hapa nyumbani Tanzania inakusisimua na kazi zao ( creativity )?
kiukweli hakuna yani tena naona bora zote kuliko hiyo wanayoitaa ya TAIFA haina ratiba maalum movie wanazoonyesha za kishamba yani hamna kitu kabsaaaaaa