Most Creative TV station in Tanzania

Most Creative TV station in Tanzania

nronga

Member
Joined
Jan 20, 2010
Posts
22
Reaction score
1
Wadau naomba kuuliza Local TV channel gani hapa nyumbani Tanzania inakusisimua na kazi zao ( creativity )?
 
Wadau naomba kuuliza Local TV channel gani hapa nyumbani Tanzania inakusisimua na kazi zao ( creativity )?

Maelezo yako yanatofautiana hujaeleweka bado kusisimua na to be creative ni vitu viwili tofauti, Sasa unataka iliyo creative?? au inayosisimua???
 
Kwa sasa i would say bado hatujawa na hata station moja... tumekua very orthodox.. muda wavipindi kwa mfano vya watoto, vichekesho, habari, elimu nk. vyote ni trend ileile, studio ziko hivyohivyo na watangazaji wako kihivyohivyo na kuigana

hata tamthiliya, na movie ni zilezile,

sijui clouds watakuja na nini
 
Hakuna; labda redio, redio tanzania dar es salaam....na kipindi ni mama na mwana
 
kiukweli hakuna yani tena naona bora zote kuliko hiyo wanayoitaa ya TAIFA haina ratiba maalum movie wanazoonyesha za kishamba yani hamna kitu kabsaaaaaa
 
Hata kama hamna ila kunawanaojitahidi kama EATV tusiwabanie..ni maoni tu.
 
kiukweli hakuna yani tena naona bora zote kuliko hiyo wanayoitaa ya TAIFA haina ratiba maalum movie wanazoonyesha za kishamba yani hamna kitu kabsaaaaaa

Tena ukiwa unaangalia TBC inabidi uwe na remote karibu.

Sauti inaweza ikaongezeka ghafla . Au ikapungua ghfla .
 
Back
Top Bottom