Most expensive schools in Tanzania

Shule yangu IST baada ya hapo nikaunga Harvard nikagonga Electrical engineering... Nipo zangu pentagon saivi napiga kazi
Brother pentagon hupo department ipi kati ya hizi
Department of the Army.

Organization of the Joint Chiefs of Staff.

Unified Combatant Commands.

Office of the Inspector General of the Department of Defense.

National Guard Bureau
 
Umeongea jambo sahihi sana mkuu. Na ulipoigusia VETA ndiyo umemaliza kabusa lakini sidhani kama watu watakuelewa humu. Truly to say, VETA is far better kuliko hivi vyuo vikuu.
 
Shule za level gani... Ebu zitaje... Umataifa wa Arusha ni upi? ni shule? Idadi ya Wageni au kitu gani? au International Airport au Hifadhi? sema vizuri mkuu...
Arusha ni Jiji la wamachinga, sidhani kama nchi hii kuna mkoa unaongoza kwa kutandaza vitu barabarani kama Arusha, kile pembezini mwa barabara unapopita wametapakaa wayza nguo wakiwa wamezutandika chini, wayza mahundi, wauza pipi n.k
Kwa kifupi Arusha imehama kutoka Jiji la kimataifa to Chinga City.
 
Naona unajaribu kutufunga kwa kamba kavu za migomba au unadhani sisi ni mizigo ya kuni?
Usome hiyo shule halafu hata kuandika usijue?
Hakuna koma, hakuna nukta, uppee na lower cases zinaweka popote pale.
Hebu acha uongo wewe
 
Nlijua utanihoji maswali juu ya SCS [emoji3]kumbe unaongelea nukta na koma
Miaka hio mi nasoma hapo wrwe ulikua bado dogo saana upo kijijini kwenu na kaptula ya kaki unauza miwa[emoji3]
 
Afuu akitoka hapo analipwa mshahara laki 4 kwa mwezii... haa ha ha..!!
wengi wa waliopitia hizo shule wakimaliza vyuo vikuu huwa wanarudi kusimamia miradi ya kibiashara ya familia zao na baadaye huanzisha miradi yao binafsi.

rejea historia ya mohamed dewji au yusufu bakhresa (wote hao walisoma IST).
 
nchi za kiafrika tunashida sana yani tunatawaliwa kila eneo,hivi unaanzaje kuruhusu shule ambazo zipo nchini mwako kutumia mitaala ya nchi zingine.

Kwani mitaala inayotumiwa Tanzania kwenye shule za kata ilitoka Tanzania?
 
Umeongea jambo sahihi sana mkuu. Na ulipoigusia VETA ndiyo umemaliza kabusa lakini sidhani kama watu watakuelewa humu. Truly to say, VETA is far better kuliko hivi vyuo vikuu.
VETA ina nafasi yake katika value chain lakini si mbadala wa ngazi zingine. Hakuna atakayekupa u-project engineer au department head engineer na ganda lako la Veta. Wewe saizi yako itakuwa kukaza nati, kufuata maigizo,n.k. Siyo kufanya maamuzi.
 
Nashangaa, wakati Feza International primary ni usd 660 na sec ni usd 12,000 inakuwaje haimo
Hesabu ndiyo shida? USD 12,000 ni kama ni kama Sh. 28 million. Linganisha ndiyo utajua kama inastahili au la.
 
VETA ina nafasi yake katika value chain lakini si mbadala wa ngazi zingine. Hakuna atakayekupa u-project engineer au department head engineer na ganda lako la Veta. Wewe saizi yako itakuwa kukaza nati, kufuata maigizo,n.k. Siyo kufanya maamuzi.
Engineering hai apply kila mahala, kingune ukumbule VETA siyo kujaza nati tu. VETA wanafanya innovations nyingi sana kuliko hao Engineers wako. Engineers wana nafasi yao kubwa tu lakini si kwa wingi uliopo hivi sasa unaopelekea hao engineers waishie kufanya kazi za watu wa VETA
 
Mbona siyaamini hayo maandishi au sijielewi ?ml 65 pesa unalipia ada ahaaaa sio kweli jamani hamna MTU anaweza kulipa hivyo nakataaaaa
 
Zama hizi kama ni mtu unafikiria mbali huwezi ukaacha kumsomesha Mtoto Shule ya maana kwa kufikiri badae atashindwa kupika na kufua, hili ni wazo mgando sana jamaa yangu badilika labda kama kauwezo kanabana ila usijidanganye.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…