Most expensive schools in Tanzania

Most expensive schools in Tanzania

wengi wa waliopitia hizo shule wakimaliza vyuo vikuu huwa wanarudi kusimamia miradi ya kibiashara ya familia zao na baadaye huanzisha miradi yao binafsi.

rejea historia ya mohamed dewji au yusufu bakhresa (wote hao walisoma IST).
Kuna mtu aliniambia kuwa kati ya Jamali au Omari Bakheresa alikataa kabisaa kusoma ili aingie ktk biashara ya babake moja kwa moja
 
Arusha ni Jiji la wamachinga, sidhani kama nchi hii kuna mkoa unaongoza kwa kutandaza vitu barabarani kama Arusha, kile pembezini mwa barabara unapopita wametapakaa wayza nguo wakiwa wamezutandika chini, wayza mahundi, wauza pipi n.k
Kwa kifupi Arusha imehama kutoka Jiji la kimataifa to Chinga City.
Hiyo ipo strategically mkuu,serikali inataka kuifanya miji yote iliyo chini ya upinzani kuwa dampo ili kuwakomoa!! Ndiyo maana ilizuia hata mapato ya halmashauri hizo yasitumike kuendelea maeneo hayo na badala yake yakahamishiwa serikali kuu! Nchi ya visasi hii mkuu!
 
Zama hizi kama ni mtu unafikiria mbali huwezi ukaacha kumsomesha Mtoto Shule ya maana kwa kufikiri badae atashindwa kupika na kufua, hili ni wazo mgando sana jamaa yangu badilika labda kama kauwezo kanabana ila usijidanganye.
Hao wanatoka st kayumba si watawapikia na kuwafulia? Usomee kupika na kufua kwani wewe ni mtoto wa kada?
 
Hiyo ipo strategically mkuu,serikali inataka kuifanya miji yote iliyo chini ya upinzani kuwa dampo ili kuwakomoa!! Ndiyo maana ilizuia hata mapato ya halmashauri hizo yasitumike kuendelea maeneo hayo na badala yake yakahamishiwa serikali kuu! Nchi ya visasi hii mkuu!
Ila Arusha wameichakaza vibaya aisee, siyo Arusha ile . Manzese is far better kuliko Arusha. Mji mzima umegeuka kuwa soko. Arusha ya sasa kila siku utadhani ni siku ya mnada/gulio.
 
hiyo fees ni gharama ya spaghetti, swimming pool,sausage na wengi wanajifunzia kulamba unga huko,Anamaliza shule hata kufua nguo hajui na ukipata bahati mbaya ukao aliyepitia huko watoto watakuwa wanakula chips kila siku tena za kununua magengeni.kupika na kufua sifuri ila English poa
Kwani ukijua kufua nguo na kupika ndio inakuwaje!??

Mkuu acha tupambane na maisha yetu huku mtaani...kuna watu hawajawahi kupanda hata daladala...hawajui bei ya sukari na chumvi pale kwa mangi...na wanaishi hivyo hadi kufa kwao..!! Tusiwalaumu
 
Naona unajaribu kutufunga kwa kamba kavu za migomba au unadhani sisi ni mizigo ya kuni?
Usome hiyo shule halafu hata kuandika usijue?
Hakuna koma, hakuna nukta, uppee na lower cases zinaweka popote pale.
Hebu acha uongo wewe
Ulisoma st Constantine mwaka gani?!!..Ulianza age gani?
 
wanakula chips kila siku tena za kununua magengeni.kupika na kufua sifuri ila English poa

halafu wakakitumie wapi hicho Kiingereza, Kariakoo ?

Ni duka gani, ofisi ya umma gani, benki, hospitali au hoteli gani umewahi kukosa huduma au kupata kazi kwa sababu wanaongea Kiingereza kitupu ???
 
Hao watoto wanaosoma hizo shule ni wanakulia na kufia kwenye matawi ya juu
Hutakutanae kijiweni sio kibaruani na wala kwenye foleni ya benki ..wako another level, yaani ni maisha ya ndotoni kwetu...
 
Implication ya hiyo kitu ni kuwa hata walioendelea wanajua kuwa hizo regions ndo zenye watu wenye dough na sana sana Arusha.. Dough ipo kwa wengi japo life iko juu na ni tourist regions kuna attractions kibao na weather pia ni nzuri
Kwamba Arusha kuna dough kuliko Dar?

Arusha nzima tunailinganisha na goba tu.
 
Tanzania: Top 10 Most Expensive Schools in Tanzania

10. Morogoro International School (MIS)

MIS annual basic fee of a student ranges from Sh4.4 million in Kindergarten to Sh17 million in High School. The School is the most expensive in Morogoro. The School adopts the Cambridge curriculum.

9. International School of Moshi (ISM)

ISM is the most expensive School in Moshi, a student's annual basic fees ranges from Sh14.5 million in primary to Sh17.2 million in High School. The school adopts the IB curriculum

8. Aga Khan Primary and Secondary School

Aga Khan is the eighth most expensive School in Tanzania it's situated in Dar es salaam. A student's annual basic fee ranges from Sh7.2 million in primary to Sh20.4 million in high school. Aga Khan adopts the IB curriculum.

7. Heaven of Peace Academy (HOPAC)

Hopac is a Christian International School situated in Dar es salaam, with an annual basic fee ranging from Sh15.5 million in primary level to Sh21.7 million in High School. HOPAC adopts the Cambridge curriculum.

6. Kennedy House Schools

KHS is a group of schools all over the world, they have a school in Arusha with Pre-Primary and Primary level. Their fees ranges from Sh7.8 million in Pre-Primary to Sh22.4 million in Primary. It adopts the Cambridge curriculum.

5. St. Constantine's International School

St. Constantine is an International boarding and day School. It's the second most expensive school in Arusha with an annual basic fee ranging from Sh7.5 million in nursery to Sh22.8 million in High School. It adopts the Cambridge curriculum.

4. Iringa International School (IIS)

IIS is the most expensive School in Iringa adopting both the IB and Cambridge curriculums. Their annual basic fee ranges from Sh16.7 million in pre-primary to Sh27.4 million

3. Dar es Salaam International Academy (DIA)

DIA is the third most expensive School in Tanzania. Situated in Dar es Salaam and adopting the IB curriculum, its annual School fees ranges from Sh24.3 million in primary year program to Sh40 million in High School.

2. Braeburn International School

Braeburn is an international day and boarding School, adopting the IB curriculum. It's situated in Arusha and Dar es Salaam. Its annual basic fees ranges from Sh20.3 million in primary to Sh42.6 million in High School.

1. International School of Tanganyika (IST)

IST is the most expensive School in Tanzania. It is situated in Dar es Salaam and adopts the IB curriculum. Its annual basic fees ranges from Sh33.3 million in pre-primary to Sh65.5 million in High School.
Duu hao wa tanganyika school nadhan hawaajiriwi bongo
 
Mkuu acha masihara nimewahi kufika hiyo IST wengi ni wahindi,wazungu na waarabu sidhani kama kazi wanafanya bongo ukizingatia mitaala yao ni ya uingereza
Samahani naomba tuongelee mtaala ,Ni kuwa mfano mtaala huu aliyesoma baadaye akaja akasomea udaktari ama let say maths professor,Ina Mana contentwise kuwa watakuwa wanatofauatiana.
Nahitaji kuelimishwa hapa kuwa daktari wa China,India,Tanzania,Brazil,misri, Iran and Bangladesh kuwa hawatakuwa na uwezo mmoja wa kutibu ama kufanya upasuaji let say wamesomea specialization moja.
Yaani nauliza Engineer wa China ama wa Tanzania kuwa hawezi Jenga road huko USA.
 
Ndio maana wakipewa nafasi serekalini huwa wizi wa kutisha

Back
Top Bottom