Most Influential Young African

Most Influential Young African

Bishop Hiluka

JF-Expert Member
Joined
Aug 12, 2011
Posts
7,147
Reaction score
14,699
Kwa mujibu wa mtandao wa Africa Youth Awards, hii ndiyo listi ya vijana wa Kiafrika wenye ushawishi zaidi barani Afrika na duniani: Tanzania inawakilishwa vyema na vijana 7 (sijui kama kuna mwingine sijamuweka kwenye listi hii), kama ifuatavyo; Ali Kiba (6), Diamond Platnumz (28), Diana Elizabeth Michael (Lulu)?? katika namba 29, Flaviana Matata (39), Jokate Mwegelo ((55), Millard Ayo (68) na Nancy Sumari (74).

Hongera wote mliotajwa kwenye orodha hii...

DIa8uR3UEAAff3z.jpeg.jpg
 
Nancy sumari flaviana matata jokate na ali kiba hao ni vijana kweli?? Hao ni YOUNG veterans bhana... wazee kabisa hao mana wana zaidi ya 40yrs

Sent using Jamii Forums mobile app
Umri wao kama ifuatavyo:-

Ali Kiba (42)
Jokate (36)
Nancy Sumari (39)
Flaviana Matata (34)

Bado ni vijana inategemea unawatazama vipi. Idadi ya watoto 5 kila mmoja na mama yake haimaanishi ni kikongwe.
 
Ontario je??

usisahau vya kusahau kabla kusahau hAkujakusahau wewe uliye sahau
Nahisi Ontario yupo kwenye ligi la juu zaidi, kumchanganya na mamiss ni fedheha, ndio maana mwanzoni mwa mwaka huu Real Leaders magazine walimchagua kwenye jarida lao maalumu la tuzo ya amani ya Nobel category ya 100 global visionary leaders under 30

Hili ni gazeti maarufu marekani ambalo lilianzishwa na mfanyabiashara bilionea Richard Branson ili kuwachallenge global leaders kuwa agents of change duniani. Kila mwaka hua wanatoa list ya watu influential dunia nzima ambao wapo chini ya miaka 30.

Kwa TZ nahisi alikua Ontario pekee (sina uhakika), hapa ni ngumu kuwakuta kina vipusa na wazee wa zilipendwa.

Link! Peace 2017

5eb6eaf0c7049afe1cede958d2960274.jpg
b47c66ff1e0a289807602248e210bb12.jpg
 
Kwa mujibu wa mtandao wa Africa Youth Awards, hii ndiyo listi ya vijana wa Kiafrika wenye ushawishi zaidi barani Afrika na duniani: Tanzania inawakilishwa vyema na vijana 7 (sijui kama kuna mwingine sijamuweka kwenye listi hii), kama ifuatavyo; Ali Kiba (6), Diamond Platnumz (28), Diana Elizabeth Michael (Lulu)?? katika namba 29, Flaviana Matata (39), Jokate Mwegelo ((55), Millard Ayo (68) na Nancy Sumari (74).

Hongera wote mliotajwa kwenye orodha hii...

View attachment 578036
No. 43 Gigi Ibrahim ndio Gigi Money?
 
Nahisi Ontario yupo kwenye ligi la juu zaidi, kumchanganya na mamiss ni fedheha, ndio maana mwanzani mwa mwaka huu Real magazine walimchagua kwenye jarida lao maalumu la tuzo ya Nobel category ya 100 global visionary leaders under 30

Hili ni gazeti ambalo lilianzishwa kuchallenge global leaders na mfanyabiashara bilionea maarufu Richard Branson. Kila mwaka hua wanatoa list ya watu influential dunia nzima ambao wapo chini ya miaka 30. Kwa TZ nahisi alikua Ontario pekee (sina uhakika). Peace 2017

5eb6eaf0c7049afe1cede958d2960274.jpg
b47c66ff1e0a289807602248e210bb12.jpg
Coment kichefuchefu kwa kweli... Thumbs up!
 
Africa kweli ni majanga yaani influential wengi hapo ni wakata viuno na watembea uch na wabwiya uga wa sembe!!

Ukiangalia, umri kama wa ao hao kwa nchi za Ulaya, USA na Asia ni vijana wamevumbua programs, mitambo, elimu kubwa na mambo muhimu.

Any way , Africa, bado tuna safari ndefu sana.
 
Kuwekwa watu kama Lulu ambao sijui hata mchango wake katika Taifa inadhihirisha kama taifa tuna uhaba wa uhaba wa vijana aina ya ONTARIO na kama wapo basi wapo vijijini huko wanachunga mbuzi.

Taifa huwa linatambulika kwa aina ya watu linalowazalisha hivyo sisi tunazalisha wakina Lulu wengi.

Salute sana mkuu ONTARIO
 
Yaani, ni aibu sana.

Wanaoamini kwenye imani yoyote inayookoa waiombee nchi na Africa ila kama tutaendelea hivi, naona hata wanyama wa Serengeti watatajwa kuwa nao ni vijana influential from Africa.
 
Back
Top Bottom