yekini
Senior Member
- Jan 11, 2015
- 144
- 91
Ilibid awekwe mzee wa kazi hapo Paul Makonda... Ingekua hamna ubishi tuzo ingeenda kwake direct.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Haaaaa jokate kumbe Ana 36 duh balaaa, na alikiba kumbe mzeeeUmri wao kama ifuatavyo:-
Ali Kiba (42)
Jokate (36)
Nancy Sumari (39)
Flaviana Matata (34)
Bado ni vijana inategemea unawatazama vipi. Idadi ya watoto 5 kila mmoja na mama yake haimaanishi ni kikongwe.
Kabisa mengine bado tupo nyuma mkuu
Alikiba kaindluence nini?? Hamna hata kijana mmoja aliyemtoa kimuziki akajulikana au hata mtu aliyefanikiwa kiasi fulani akamtaja kiba kama role model, hamna! List hii ya ndondo cup nafikiri.Kwa mujibu wa mtandao wa Africa Youth Awards, hii ndiyo listi ya vijana wa Kiafrika wenye ushawishi zaidi barani Afrika na duniani: Tanzania inawakilishwa vyema na vijana 7 (sijui kama kuna mwingine sijamuweka kwenye listi hii), kama ifuatavyo; Ali Kiba (6), Diamond Platnumz (28), Diana Elizabeth Michael (Lulu)?? katika namba 29, Flaviana Matata (39), Jokate Mwegelo ((55), Millard Ayo (68) na Nancy Sumari (74).
Hongera wote mliotajwa kwenye orodha hii...
View attachment 578036
Hahahahahahaaaaa! Ni mtazamo wako, hata hivyo nauheshimu...Alikiba kaindluence nini?? Hamna hata kijana mmoja aliyemtoa kimuziki akajulikana au hata mtu aliyefanikiwa kiasi fulani akamtaja kiba kama role model, hamna! List hii ya ndondo cup nafikiri.
Nahisi Ontario yupo kwenye ligi la juu zaidi, kumchanganya na mamiss ni fedheha, ndio maana mwanzoni mwa mwaka huu Real Leaders magazine walimchagua kwenye jarida lao maalumu la tuzo ya amani ya Nobel category ya 100 global visionary leaders under 30
Hili ni gazeti maarufu marekani ambalo lilianzishwa na mfanyabiashara bilionea Richard Branson ili kuwachallenge global leaders kuwa agents of change duniani. Kila mwaka hua wanatoa list ya watu influential dunia nzima ambao wapo chini ya miaka 30.
Kwa TZ nahisi alikua Ontario pekee (sina uhakika), hapa ni ngumu kuwakuta kina vipusa na wazee wa zilipendwa.
Link! Peace 2017
![]()
![]()
Hahaha na amber lulu hujamuona?No. 43 Gigi Ibrahim ndio Gigi Money?
Tumpe miaka miwili Gigi, atakuwa 'influensho' kikweli kwelii. Mwendo anaoenda nao si haba, mark me words. Huyo Lulu ni Elizabeth Michael 'Mjelajela', anastahili kuwepo kwenye list kwa maoni yangu.Hahaha na amber lulu hujamuona?
Ontario kafanyaje?Kuwekwa watu kama Lulu ambao sijui hata mchango wake katika Taifa inadhihirisha kama taifa tuna uhaba wa uhaba wa vijana aina ya ONTARIO na kama wapo basi wapo vijijini huko wanachunga mbuzi.
Taifa huwa linatambulika kwa aina ya watu linalowazalisha hivyo sisi tunazalisha wakina Lulu wengi.
Salute sana mkuu ONTARIO
Hongera sana Mkuu hakika unastahili kuwa hapo..Nahisi Ontario yupo kwenye ligi la juu zaidi, kumchanganya na mamiss ni fedheha, ndio maana mwanzoni mwa mwaka huu Real Leaders magazine walimchagua kwenye jarida lao maalumu la tuzo ya amani ya Nobel category ya 100 global visionary leaders under 30
Hili ni gazeti maarufu marekani ambalo lilianzishwa na mfanyabiashara bilionea Richard Branson ili kuwachallenge global leaders kuwa agents of change duniani. Kila mwaka hua wanatoa list ya watu influential dunia nzima ambao wapo chini ya miaka 30.
Kwa TZ nahisi alikua Ontario pekee (sina uhakika), hapa ni ngumu kuwakuta kina vipusa na wazee wa zilipendwa.
Link! Peace 2017
![]()
![]()