Bishop Hiluka
JF-Expert Member
- Aug 12, 2011
- 7,147
- 14,699
Mimi sijasema namba zilivyo ndivyo walivyo kwa umuhimu...
Nancy sumari flaviana matata jokate na ali kiba hao ni vijana kweli?? Hao ni YOUNG veterans bhana... wazee kabisa hao mana wana zaidi ya 40yrs
Sent using Jamii Forums mobile app
Umri wao kama ifuatavyo:-Nancy sumari flaviana matata jokate na ali kiba hao ni vijana kweli?? Hao ni YOUNG veterans bhana... wazee kabisa hao mana wana zaidi ya 40yrs
Sent using Jamii Forums mobile app
Nahisi Ontario yupo kwenye ligi la juu zaidi, kumchanganya na mamiss ni fedheha, ndio maana mwanzoni mwa mwaka huu Real Leaders magazine walimchagua kwenye jarida lao maalumu la tuzo ya amani ya Nobel category ya 100 global visionary leaders under 30Ontario je??
usisahau vya kusahau kabla kusahau hAkujakusahau wewe uliye sahau
No. 43 Gigi Ibrahim ndio Gigi Money?Kwa mujibu wa mtandao wa Africa Youth Awards, hii ndiyo listi ya vijana wa Kiafrika wenye ushawishi zaidi barani Afrika na duniani: Tanzania inawakilishwa vyema na vijana 7 (sijui kama kuna mwingine sijamuweka kwenye listi hii), kama ifuatavyo; Ali Kiba (6), Diamond Platnumz (28), Diana Elizabeth Michael (Lulu)?? katika namba 29, Flaviana Matata (39), Jokate Mwegelo ((55), Millard Ayo (68) na Nancy Sumari (74).
Hongera wote mliotajwa kwenye orodha hii...
View attachment 578036
Coment kichefuchefu kwa kweli... Thumbs up!Nahisi Ontario yupo kwenye ligi la juu zaidi, kumchanganya na mamiss ni fedheha, ndio maana mwanzani mwa mwaka huu Real magazine walimchagua kwenye jarida lao maalumu la tuzo ya Nobel category ya 100 global visionary leaders under 30
Hili ni gazeti ambalo lilianzishwa kuchallenge global leaders na mfanyabiashara bilionea maarufu Richard Branson. Kila mwaka hua wanatoa list ya watu influential dunia nzima ambao wapo chini ya miaka 30. Kwa TZ nahisi alikua Ontario pekee (sina uhakika). Peace 2017
Kuwekwa watu kama Lulu ambao sijui hata mchango wake katika Taifa inadhihirisha kama taifa tuna uhaba wa uhaba wa vijana aina ya ONTARIO na kama wapo basi wapo vijijini huko wanachunga mbuzi.Africa kweli ni majanga yaani influential wengi hapo ni wakata viuno na watembea uch na wabwiya uga wa sembe!!
Ukiangalia, umri kama wa ao hao kwa nchi za Ulaya, USA na Asia ni vijana wamevumbua programs, mitambo, elimu kubwa na mambo muhimu.
Any way , Africa, bado tuna safari ndefu sana.
Kwenye mambo kama hayo na big brotherTanzania tunawakilisha vyema
Kuwekwa watu kama Lulu ambao sijui hata mchango wake katika Taifa inadhihirisha kama taifa tuna uhaba wa uhaba wa vijana aina ya ONTARIO na kama wapo basi wapo vijijini huko wanachunga mbuzi.
Taifa huwa linatambulika kwa aina ya watu linalowazalisha hivyo sisi tunazalisha wakina Lulu wengi.
Salute sana mkuu ONTARIO