#COVID19 Most Mutated COVID-19 Variant yet found in Tanzania travelers

Sasa kama hamjui chochote kuhusu sisi, kelele za nini? Mnapiga kelele kwa data zipi?!

Duh..
1617225931898.png
 
Kuzalisha mutation si hoja, hoja ni kuzalisha most mutated variant.

Unaelewa tofauti?

Usitake kulinganisha timu inayocheza mpira ligi ya mchangani na timu iliyoshinda World Cup.

Eti kwa sababu zote zinacheza mpira.

Utaonekana juha.
Em jibu swali kwanza
 
Em jibu swali kwanza
Hata swali linahojiwa, unaelewa hilo?

Ukiuliza swali ambalo halina mantiki utaambiwa.

Wamezalisha mutation, lakini hawajazalisha the most mutated variant.

Ooh, kumbe wamezalisha mutation? Very intresting, what makes you think hiyo mutation haitamutate tena, na tena, na tena, na tena, na tena, na eventually kuwa sawa na the so called ‘Most mutated’?, maana kama iliweza kumutate once under all the restrictions and lockdowns, it will most certainly do the same, given enough time
 
Wapi nimesema hiyo mutation haita mutate tena?

Key point hapa ni hii.

Nchi zinazopima watu wake, zinazo isolate wenye virusi na zinazo chanja watu zina attempt ku control mutation.

Leo watu wa Pfizer wanasema kwamba vaccine yao iko effective against the UK variant and the South African variant.

Marekani wapo around 20% vaccinated kwenye adult population.

Maana yake, hawa 20%, kwa kuwa wamejikinga na UK/ South African variant, hawatapata hizo variants na mutations zozote zitakazotokana na hizo variants.Wamepunguza attack surface.

Huko Tanzania ambako hatupimi, hatu isolate, hatuchanji watu, tuna incubate variants zote tunapika mutations zote.

Utafananishaje mawili haya?
 
Uzuri ni kuwa, hiki kirusi kikikupata kama upo healthy kinakutingisha kidogo tu kama wiki mbili kisha unakaa sawa,

Kwa Tanzania corona ni old school song.
Ahahaha!!
Hii coment nimeipenda kwa Tz.corona ni old school song
 
Wapi nimesema hiyo mutation haita mutate tena?

Key point hapa ni hii.

Nchi zinazopima watu wake, zinazo isolate wenye virusi na zinazo chanja watu zina attempt ku control mutation.

Leo watu wa Pfizer wanasema kwamba vaccine yao iko effective against the UK variant and the South African variant.

Marekani wapo around 20% vaccinated kwenye adult population.

Maana yake, hawa 20%, kwa kuwa wamejikinga na UK/ South African variant, hawatapata hizo variants na mutations zozote zitakazotokana na hizo variants.Wamepunguza attack surface.

Huko Tanzania ambako hatupimi, hatu isolate, hatuchanji watu, tuna incubate variants zote tunapika mutations zote.

Utafananishaje mawili haya?
Nani kasema hawaattempt kucontrol? Ofcourse wana attempt kucontrol, but the results there after, are they any different from those who are not taking such precautions?
 
Nani kasema hawa attempt ku control? Na hao ambao hawa attempt ku control ni nani?

Be specific please. Imprecision is the dwelling place of the lazy fool.
 
Wewe ndio umesema kwamba wanaattempt kucontrol, (UK ect.) as if kuna mtu kabisha; in anycase, thereafter, matokeo ya hao wanaoattempt kucontrol kwa hizo precautions, na sisi (Tz) mnaodai hatuchukui precautions, kuna utofauti wowote wa matokeo?
 
Kwani umesikia UK wametengeneza the most mutated variant?

Na unaelewa kwamba hiyo most mutated imeonekana kwa wasafiri walioenda nje? Unaelewa maana yake huko Tanzania kunawezekana kuwapo na nyingine mutated zaidi haijagunduliwa, kwa sababu watu hawapimwi?

Unataka kulinganisha watu wanaopima, wanao isolate na kuchanja na watu wasiopima, wasio isolate na wasiochanja?

What's next? Utasema wote sawa, kwa sababu wote tutakufa siku moja?
 
Kwani kinachojaribu kuepukwa ni mutation au ni vifo na kuugua? Therefore, kuna utofauti wa vifo na kuugua kati ya wanakochukua na wasikochukua?
 
Unataka kuepuka vifo na kuugua bila kuepuka mutations usizozijua na usizo zi control?
 
As long as hakuna utofauti wa matokeo; haya nijibu sasa na mimi, kuna tofauti ya vifo na kuugua kati ya huko wanakochukua precautions (UK etc.) na sisi tusiochukua precautions? (Tz)
 
aione kwenye faili kiranga na wanazi wenzake
Dont misquote me

Elewa kwamba Ukizua ongezeko la maambukizi(infection rate), utazuia kwa kiwango kikubwa cha mutation rate, yaani utakapo zuia kuzaliana kwa viruses kwa njia ya maambukizi utazuia uwezo wa high mutation rate.

Na kuzuia infection rate ni kufuata masharti ya kujikinga, ambapo Serikali ya Tanzania ilipuuzia hili toka mwanzoni, na badala yake kusambaza uwongo kuwa wameishinda COVID19 kwa maombi na Nyungu.
 
As long as hakuna utofauti wa matokeo; haya nijibu sasa na mimi, kuna tofauti ya vifo na kuugua kati ya huko wanakochukua precautions (UK etc.) na sisi tusiochukua precautions? (Tz)
Dah..kwa jinsi hali ilivyo...bado kidogo tu....hii kirus itaota mikono....itashika bunduki na kuanza kushuti waTZ [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom