Dont misquote me
Elewa kwamba Ukizua ongezeko la maambukizi(infection rate), utazuia kwa kiwango kikubwa cha mutation rate, yaani utakapo zuia kuzaliana kwa viruses kwa njia ya maambukizi utazuia uwezo wa high mutation rate.
Na kuzuia infection rate ni kufuata masharti ya kujikinga, ambapo Serikali ya Tanzania ilipuuzia hili toka mwanzoni, na badala yake kusambaza uwongo kuwa wameishinda COVID19 kwa maombi na Nyungu.