Most of the Beautiful ladies are single; this is why...

Most of the Beautiful ladies are single; this is why...

Hakuna mwanamke mbaya...the ugly the face/shape..the sweet the pussy.
Tatizo la wasichana wabaojiona wazuri ni uvivu. Wanadhani uzuri wao ndo kila kitu...atataka akufanye mtumwa wake, kitandani hajiongezi..yaani wana boa sana. Ndo maana unaweza kuona mtu kaoa mdada mrembo lakini anakimbizana na wadada wa kawaida mtaani.
Absolutely correct
 
Katika kuoa na kuolewa unatakiwa uangalie internal beauty na sio external beauty..

Ivyo wanawake wabaya wana uzuri na ubora wa ndani(internal qualities) sana kuliko wanawake wazuri.

Wanawake wenye muonekano wa kawaida/wabaya wanakuwa na akili sana shuleni kwa vile hawana vishawishi vya ngono au kutongozwa. Matokeo yake upata elimu ya kutosha,upeo mzuri na kazi nzuri na wengi huweza kujitegemea kimaisha bila ya mwanaume.. ..haya uwavutia sana wanaume mimi nikiwemo.

Wanawake wazuri ni target ya ngono tangu primary ivyo hawafanyi vizuri sana darasani na uishia elimu ndogo,upeo hafifu,na wengi wao uishia tu kujiuza au kutumika kwa muda na kuachwa kwa sababu wanakuwa tegemezi sana na wasio na adabu wala maadili wala akili za kujitegemea na wanakuwa wametumika sana na kuvurugwa.

Uzuri wa mwanamke na hata mwanaume kwa yule anayempenda na anayetaka kumfanya mke au mume upo kwenye moyo wake na akili.
Ukishazijua tabia za mke au mume anakua mzuri mno zaidi ya mtu yoyote anavyowaona
 
Back
Top Bottom