Katika kuoa na kuolewa unatakiwa uangalie internal beauty na sio external beauty..
Ivyo wanawake wabaya wana uzuri na ubora wa ndani(internal qualities) sana kuliko wanawake wazuri.
Wanawake wenye muonekano wa kawaida/wabaya wanakuwa na akili sana shuleni kwa vile hawana vishawishi vya ngono au kutongozwa. Matokeo yake upata elimu ya kutosha,upeo mzuri na kazi nzuri na wengi huweza kujitegemea kimaisha bila ya mwanaume.. ..haya uwavutia sana wanaume mimi nikiwemo.
Wanawake wazuri ni target ya ngono tangu primary ivyo hawafanyi vizuri sana darasani na uishia elimu ndogo,upeo hafifu,na wengi wao uishia tu kujiuza au kutumika kwa muda na kuachwa kwa sababu wanakuwa tegemezi sana na wasio na adabu wala maadili wala akili za kujitegemea na wanakuwa wametumika sana na kuvurugwa.