Most people are like Robots

Most people are like Robots

Bob Manson

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2021
Posts
4,158
Reaction score
7,787
Greetings siblings, Hope y'all doing fine. This is something very important you should think about.

Millions of people never analyze themselves, Mentally they are merchanical product of the factory of their environment.

Preioccupied with breakfast, lunch and dinner, working and sleeping, going here and there to be entertained.

They don't know what or why they are seeking, nor why they never realize complete satisfaction. Most they don't understand the true purpose of living.

Get up go to work go home sleep
(Repeat)

Dear reader, what is your suggestion for escaping this trap?

#BM
 
Purpose
Passion
Goals
Vision
Dreams

Mimi mfano nilikuwa nahitaji Kuwa mwalimu - that is my dream

Napeda kufundisha watu that is my Passion

Nina malengo ya kumiliki net worth I billion katika umri wa kuanzia 30s
That is my goals

Baada ya hapo ntafungua taasisi yangu itakayosidia watu wenye ulemavu na watoto wa mtaani ili waweze kuwa na potentia that is my biggest mission i call it purpose -kusudio langu la kuwa duniani.

So mkuu kuishi Kama roboti inawezekana na kufanikiwa kwa mtiririko huo is possible .

Ila ili ufikie hatua ya kuishi ktk purpose yako unabidi kuna hatua uanzie maana kusudio lako ni kitu then wewe unakuwa none benefit ila amani moyoni

Na mwiasho bila maono (vision) you can't get anywhere.
 
Purpose
Passion
Goals
Vision
Dreams

Mimi mfano nilikuwa nahitaji Kuwa mwalimu - that is my dream
It's okay kuwa na dream au passion, lakni tatzo huanza pale ambapo maisha yanakuwa kwenye mfumo wa marudio ya kila siku.

Kukosa muda wa kufanya mambo mengine tofauti na utafutaji, kuuza muda wote wa siku kwa muajiri ili tu mkono uende kinywani.
 
Vyema, kujitambua na kuamka ni kutafuta uadui na system hii ya leo. Mfumo umetengenezwa kwa njia ya kuchota muda wote wa mtu na kumnyima uhuru wa kufanya mambo mengine tofauti na utafutaji.
Mkuu watu wanaamka na kujitambua kwa kasi ya ajabu , hata huko tanzania watu wana amka vibaya mno , fuatilia tu utakutana na wimbi kubwa la watu wana fanya meditation na kuhoji mambo mengi kuhusu utata wa dini na dhana ya Mungu .
 
It's okay kuwa na dream au passion, lakni tatzo huanza pale ambapo maisha yanakuwa kwenye mfumo wa marudio ya kila siku.

Kukosa muda wa kufanya mambo mengine tofauti na utafutaji, kuuza muda wote wa siku kwa muajiri ili tu mkono uende kinywani.
Watu wenye ajira wengi wao huwa wanaishi paycheck to paycheck life -hawa huwa wapo financially broke with endless movement with zero progress

Ikiwa MTU anaishi paycheck to paycheck life ni ngumu kuwa na akiba ya kumfanya a stand out katika hiyo ajira na kuwa na empire yake.

Ukija katika hawa ambao hawapo em employed wao huwa wanaishi Hand to mouth life . sasa MTU wa hand to mouth hawezi kuwa huge saving ili aje aachane na hiz mambo.

Nchi yetu inasumbuliwa na mambo mengi ikiwemo mindset , financial management n.k

Hapa Tanzania ni ngumu kumjua Jobless na MTU mwenye kazi maana wote wanalia kuwa maisha magumu.
 
Back
Top Bottom