Bob Manson
JF-Expert Member
- May 16, 2021
- 4,158
- 7,787
- Thread starter
- #21
Kuamka kwa namna ya kuhoji ni kweli wengi wanafanya hivyo, ila bado maisha yao yapo kwenye repeat mode.Mkuu watu wanaamka na kujitambua kwa kasi ya ajabu , hata huko tanzania watu wana amka vibaya mno , fuatilia tu utakutana na wimbi kubwa la watu wana fanya meditation na kuhoji mambo mengi kuhusu utata wa dini na dhana ya Mungu .
Ni sawa na kupinga matumizi ya umeme lakini ukirudi nyumbani unawasha taa.