Bob Manson
JF-Expert Member
- May 16, 2021
- 4,158
- 7,787
nahisi na mimi ni kama robot
hasa wasomi wengi
na hii ni njia ya kutuletea umasiki
You must work, but don't forget why your here.So you don’t work okay? Don’t think everyone is Born Rich.
Ni kama jela, japo wengi hawajui wapo jela.nahisi na mimi ni kama robot hasa wasomi wengi na hii ni njia ya kutuletea umasikini
I don't know, I just need you to think about thatTufanyeje?
Kwani mkuu wewe unahisi kwanini tupo hapa?Sema yote lakini ukihusianisha swala kwa nini upo apa , na sababu ya kuwepo apa nikumtumikia Mungu , bado wewe ni roboti tu ,cha tofauti apa umeongeza majukumu ya uroboti wako.
tuliosoma tna mentality ya kusubiri ajira na tukipata ajira ndo hivo inakuwa routine hadi kustaaf hata kama mambo hayaendi vizuri, tunasubiria kikokotooKwani ambao hawajasoma hawafanyi kazi ?
Kwani mkuu wewe unahisi kwanini tupo hapa?
tuliosoma tna mentality ya kusubiri ajira na tukipata ajira ndo hivo inakuwa routine hadi kustaaf hata kama mambo hayaendi vizuri, tunasubiria kikokotoo
tujifunze kuwa flexible
It's okay kuwa na dream au passion, lakni tatzo huanza pale ambapo maisha yanakuwa kwenye mfumo wa marudio ya kila siku.Purpose
Passion
Goals
Vision
Dreams
Mimi mfano nilikuwa nahitaji Kuwa mwalimu - that is my dream
Get richTufanyeje?
Vyema, kujitambua na kuamka ni kutafuta uadui na system hii ya leo. Mfumo umetengenezwa kwa njia ya kuchota muda wote wa mtu na kumnyima uhuru wa kufanya mambo mengine tofauti na utafutaji.Kil mtu yupo kwa sababu zake binafsi swala ni kujitambua na kuamka .
Mkuu watu wanaamka na kujitambua kwa kasi ya ajabu , hata huko tanzania watu wana amka vibaya mno , fuatilia tu utakutana na wimbi kubwa la watu wana fanya meditation na kuhoji mambo mengi kuhusu utata wa dini na dhana ya Mungu .Vyema, kujitambua na kuamka ni kutafuta uadui na system hii ya leo. Mfumo umetengenezwa kwa njia ya kuchota muda wote wa mtu na kumnyima uhuru wa kufanya mambo mengine tofauti na utafutaji.
Watu wenye ajira wengi wao huwa wanaishi paycheck to paycheck life -hawa huwa wapo financially broke with endless movement with zero progressIt's okay kuwa na dream au passion, lakni tatzo huanza pale ambapo maisha yanakuwa kwenye mfumo wa marudio ya kila siku.
Kukosa muda wa kufanya mambo mengine tofauti na utafutaji, kuuza muda wote wa siku kwa muajiri ili tu mkono uende kinywani.