Bob Manson
JF-Expert Member
- May 16, 2021
- 4,158
- 7,787
- Thread starter
-
- #21
Kuamka kwa namna ya kuhoji ni kweli wengi wanafanya hivyo, ila bado maisha yao yapo kwenye repeat mode.Mkuu watu wanaamka na kujitambua kwa kasi ya ajabu , hata huko tanzania watu wana amka vibaya mno , fuatilia tu utakutana na wimbi kubwa la watu wana fanya meditation na kuhoji mambo mengi kuhusu utata wa dini na dhana ya Mungu .
πππππ umesema kweli kabisaWatu wenye ajira wengi wao huwa wanaishi paycheck to paycheck life -hawa huwa wapo financially broke with endless movement with zero progress
Ikiwa MTU anaishi paycheck to paycheck life ni ngumu kuwa na akiba ya kumfanya a stand out katika hiyo ajira na kuwa na empire yake.
Ukija katika hawa ambao hawapo em employed wao huwa wanaishi Hand to mouth life . sasa MTU wa hand to mouth hawezi kuwa huge saving ili aje aachane na hiz mambo.
Nchi yetu inasumbuliwa na mambo mengi ikiwemo mindset , financial management n.k
Hapa Tanzania ni ngumu kumjua Jobless na MTU mwenye kazi maana wote wanalia kuwa maisha magumu.
Kwakuwa hapa kwetu wenye ajira ni wachache, basi hao ndiyo waliokuwa traped na huu mfumo wa repeat mode.Hapa Tanzania ni ngumu kumjua Jobless na MTU mwenye kazi maana wote wanalia kuwa maisha magumu.
Mda ni jawabu la yote hiyo haijaja kwa bahati mbaya ipo kwenye Akash records ya universal form , katika mpngalio sahihi na kwa wakati husika.Kuamka kwa namna ya kuhoji ni kweli wengi wanafanya hivyo, ila bado maisha yao yapo kwenye repeat mode.
Ni sawa na kupinga matumizi ya umeme lakini ukirudi nyumbani unawasha taa.
Mkuu nijuze kuhusu Akash records, ni kitu gani hichoMda ni jawabu la yote hiyo haijaja kwa bahati mbaya ipo kwenye Akash records ya universal form , katika mpngalio sahihi na kwa wakati husika.
Nadhani hapa umeelezea vizuri SanaMda ni jawabu la yote hiyo haijaja kwa bahati mbaya ipo kwenye Akash records ya universal form , katika mpngalio sahihi na kwa wakati husika.
Conclusion ni nini, na unaweza toa mfano sahihi wa kuufata?Greetings siblings, Hope y'all doing fine. This is something very important you should think about.
Millions of people never analyze themselves, Mentally they are merchanical product of the factory of their environment.
Preioccupied with breakfast, lunch and dinner, working and sleeping, going here and there to be entertained.
They don't know what or why they are seeking, nor why they never realize complete satisfaction. Most they don't understand the true purpose of living.
Get up go to work go home sleep
Get up go to work go home sleep
Get up go to work go home sleep
(Repeat)
Sawa kaka, tunasubiri tujue ni mstari gani huo na nani ameuchoraNtakuja kuelezea huo mstari ambao tumechorewa I'll tusiuvuke.
Unaweza ita makataba ya kiroho wa lugha nyepesi , haina uthibitisho wa kisayansi ila unaweza ithibitisha wewe binafsi na sio rahisi kumweleza mtu akakuelewa.Mkuu nijuze kuhusu Akash records, ni kitu gani hicho
Haya ni mambo ya universe itakuhitaji kuwa open minded katika kufungua trasure ila usiwe too attached with religionSawa kaka, tunasubiri tujue ni mstari gani huo na nani ameuchora
Lengo la uzi ni wasomaji watafakari kuhusu hayo niliyo eleza, mimi mwenyewe nipo njia panda na nahitaji kujua maoni ya wengine maana wote tumekuwa trapped kwenye huu mfumoConclusion ni nini, na unaweza toa mfano sahihi wa kuufata?
Sawa kaka, am still waitingHaya ni mambo ya universe itakuhitaji kuwa open minded katika kufungua trasure ila usiwe too attached with religion
Universe inamsapoti MTU na kumvusha katika huo mstari Ila tutaelezea
Akili za watu wengi huwa na hofu ya kubali mifumo waliyoipokea tangu utotoni.Nadhani hapa umeelezea vizuri Sana
Universe huwa haisahau chochote na watu wengi tupo supported na tupo rejected kupitia universe .
Ndo maana MTU akicheza na universe anafanikiwa hata Kama hajasoma.
Sawa mkuu, nadhani ni mada nzuri hiyo na nitafanya tafiti au kusoma baadhi ya vitu ili nielewe zaidiUnaweza ita makataba ya kiroho wa lugha nyepesi , haina uthibitisho wa kisayansi ila unaweza ithibitisha wewe binafsi na sio rahisi kumweleza mtu akakuelewa.
Note:Nimetumia neno kiroho ila halina maana kwa ile tafsiri ya kidini.
safi kabisa, sema ungeweka hint ya kukaribisha mjadala ingekaa safi zaidiLengo la uzi ni wasomaji watafakari kuhusu hayo niliyo eleza, mimi mwenyewe nipo njia panda na nahitaji kujua maoni ya wengine maana wote tumekuwa trapped kwenye huu mfumo
I just need you to think about it, and you already did that. Thanks.So what?
ππ humu mtu wa kwanza ninae tamani nimwone kwa macho ni wewe , una aina yako ya kipekee sana πππ Dr mambo ni mtu sahihi kwenye huu uzi.It is a PRISON. This world is a PRISON.
It imprisons your mind, your body and your spirit without your conscious knowledge.
It is a prison without visible gates but yet very strong and powerful.
In order to survive in this prison you must be a slave in one way or another.
Everyone is a slave. Even the MASTERS OF THIS PRISON are slaves themselves in a sort of way.
The GODS and the MASTERS and the POWERS THAT BE of this PRISON are slaves themselves in their own powers.
It is a system that ensnares everything and everyone and spares NONE.
Cc: NAMBA MOJA AJAYE NCHINI DR Mambo Jambo Rabbon
Sio kusoma tu unao uwezo wa kupata taarifa zote moja kwa moja kutoka kwenye akash records, ila kwa kuanzia unaweza jifunza maarifa ya mwengne pia.Sawa mkuu, nadhani ni mada nzuri hiyo na nitafanya tafiti au kusoma baadhi ya vitu ili nielewe zaidi