BICHWA KOMWE -
JF-Expert Member
- Jul 21, 2022
- 6,373
- 16,073
Ungeniona ni kamtu ka kawaida tuu kadogoo kana mwili mdogoo tuu ila ninayajua mengi. πππ humu mtu wa kwanza ninae tamani nimeone kwa macho ni wewe , una aina yako ya kipekee sana πππ Dr mambo ni mtu sahihi kwenye huu uzi.
And the real prison is in our own mind.It is a PRISON. This world is a PRISON.
It imprisons your mind, your body and your spirit without your conscious knowledge.
It is a prison without visible gates but yet very strong and powerful.
In order to survive in this prison you must be a slave in one way or another.
Everyone is a slave. Even the MASTERS OF THIS PRISON are slaves themselves in a sort of way.
The GODS and the MASTERS and the POWERS THAT BE of this PRISON are slaves themselves in their own powers.
It is a system that ensnares everything and everyone and spares NONE.
Cc: NAMBA MOJA AJAYE NCHINI DR Mambo Jambo Rabbon
Vyema, ila nadhani nitaanza na kujua maana ya hilo kwa upana zaidi.Sio kusoma tu unao uwezo wa kupata taarifa zote moja kwa moja kutoka kwenye akash records, ila kwa kuanzia unaweza jifunza maarifa ya mwengne pia.
Nimefanya hivyo mkuusafi kabisa, sema ungeweka hint ya kukaribisha mjadala ingekaa safi zaidi
You're not free from yourself, that's the simplest answer I can give you, perhaps it is up to you to accept the reality, why? B'cause we was programmed to live like that in order for you to make a living and make your life better you have to do something better for yourself first and nobody else can do that for you I mean nobody not even your parents can do that for you.Dear Member, what did you think about this, and how can we free ourselves?
Surely, kwa hilo ni kweli kabisa ila kamwili kadogo sikufikiria hivyo.Ungeniona ni kamtu ka kawaida tuu kadogoo kana mwili mdogoo tuu ila ninayajua mengi. π
Ebwanawee nikajua tunashuka kimombo kumbe HUKU Chini mnaanguka kiswakinge kisingeli kimemwagikaNimefanya hivyo mkuu
(1 John 3:8) Atendaye dhambi ni wa Ibilisi, mtumwa wa shetani.It is a PRISON. This world is a PRISON.
It imprisons your mind, your body and your spirit without your conscious knowledge.
It is a prison without visible gates but yet very strong and powerful.
In order to survive in this prison you must be a slave in one way or the other.
Everyone is a slave. Even the MASTERS OF THIS PRISON are slaves themselves in a sort of way.
The GODS and the MASTERS and the POWERS THAT BE of this PRISON are slaves themselves in their own powers.
It is a system that ensnares everything and everyone and spares NONE.
Cc: NAMBA MOJA AJAYE NCHINI DR Mambo Jambo Rabbon paschal mayalla
Thank you for you perception Mr, hope it will enlight some readersYou're not free from yourself, that's the simplest answer I can give you, perhaps it is up to you to accept the reality, why? B'cause we was programmed to live like that in order for you to make a living and make your life better you have to do something better for yourself first and nobody else can do that for you I mean nobody not even your parents can do that for you.
Zote ni lugha, lengo ni kubadilishana mawazo na kujifunza pia.Ebwanawee nikajua tunashuka kimombo kumbe HUKU Chini mnaanguka kiswakinge kisingeli kimemwagika
Kamwili kadogo sana hakajai hata kwenye sinia.Surely, kwa hilo ni kweli kabisa ila kamwili kadogo sikufikiria hivyo.
KOMWEUngeniona ni kamtu ka kawaida tuu kadogoo kana mwili mdogoo tuu ila ninayajua mengi. π
Surely, jifunze mambo ni mengi mno.Vyema, ila nadhani nitaanza na kujua maana ya hilo kwa upana zaidi.
The Bible that you love the most is also a very powerful prison.(1 John 3:8) Atendaye dhambi ni wa Ibilisi, mtumwa wa shetani.
Chagua kuwa huru Kwa kutotenda dhambi.
Rabbon ni mwana wa Mungu, haezi kuwa mtumwa/ robbot.
Buffoon!(1 John 3:8) Atendaye dhambi ni wa Ibilisi, mtumwa wa shetani.
Chagua kuwa huru Kwa kutotenda dhambi.
Rabbon ni mwana wa Mungu, haezi kuwa mtumwa/ robbot.
πππThe Bible that you love the most is also a very powerful prison.
This shows how effective the prison can be. Even those who think are free are actually slaves in their own delusions π€£π€£π€£π€£
Rabashaka ribosika π
Yes yes the I the true the you the yes the me the understand actually the me the information the understand the you, clap your hands for the me pleaseThink the I only way the to escape the this trap is to goal go have one. One so goal is big the enough to the keep this your mind in way purpose with.