Most Powerful Militaries in Africa

Most Powerful Militaries in Africa

Wow!! our mighty KDF again featuring here.
 
Hahahaha kelele hio aise, but its nice to see that Tanzania has so much confidence in its army.

What about yours guys??? The most inferior army in East Africa!! Do you remember the issue of Migingo?
 
I dont know about your news sources but mine didn't indicate deployment of any military personnel to the said Island. Ama utaniambia wale vijana wa nne wa westgate walionyesha inferiority ya KDF? Am not proud that my countries military is ranked amongst the best in Africa while we still have people dying of hunger and manageable ailments in Kenya, but comparing KDF to JWTZ is an insult to anyone who has done abit of research on military capabilities in the African continent.
 
Kipi hasa KDF kinamfanya amzidi JWTZ?

Budget yenyu ya kila idara Tanzania ziki jumlishwa, ni sawa na ile iliopatiwa KDF mwaka huu.. maybe it doesnt mean anything to you but on the ground, that means the world. An underpaid, unmotivated, ill equipped army of 200,000 soldiers can not be compared to a well equipped, motivated army of 80,000 men.
 
Mambo ya jeshi mengi ni siri Kwa sisi raia Wa kawaida ni shida kuelewa mengi na mbaya Zaidi majeshi yetu hasa Africa hayako wazi Kwa mambo mengi tofauti na Us ingawa na wao Hawaweki mambo yote wazi lkn Kwa baadhi ya Mambo km vile Dhana etc wanaweka wazi!
 
kumbe wanaangalia vifaa na teknolojia...me nilifikiri wanaangalia uwezo wa kuoigana na kumshinda adui kama tulivowashinda Kagame na Mseveni kule DRC
 
Budget yenyu ya kila idara Tanzania ziki jumlishwa, ni sawa na ile iliopatiwa KDF mwaka huu.. maybe it doesnt mean anything to you but on the ground, that means the world. An underpaid, unmotivated, ill equipped army of 200,000 soldiers can not be compared to a well equipped, motivated army of 80,000 men.

Vita sio kuwa na zana wala sio kuwa na budget kubwa, Vita ni akili ya kupigana. Hiki ndicho ambacho Kenya kazidiwa kete na Tanzania.
 
Kdf ni wizi c unakumbuka yaliotokea wastegate.

hahahaha bado uko haya ya westgate? walio kua wakiiba walishikwa na kuadhibiwa na mali ya watu ikarudishwa. tafauti yetu na yenyu ni media, our media exposes everything, so jambo kama hili lingetokea Bongo (mungu aepushe) the world would never have learnt bout it.. we dont live in the past, we learn from it and move on... Unlike you guys, still talking about the previous EAC and liberating South african countries.. come on guys
 
Vita sio kuwa na zana wala sio kuwa na budget kubwa, Vita ni akili ya kupigana. Hiki ndicho ambacho Kenya kazidiwa kete na Tanzania.

Aise kaka unadhani strategically mnatushinda viwanjani? you will always play second fiddle to us, thought you had already adjusted to the second or third position.
 
Budget yenyu ya kila idara Tanzania ziki jumlishwa, ni sawa na ile iliopatiwa KDF mwaka huu.. maybe it doesnt mean anything to you but on the ground, that means the world. An underpaid, unmotivated, ill equipped army of 200,000 soldiers can not be compared to a well equipped, motivated army of 80,000 men.

Acha uongo! Ulikua unaongea vitu vya msingi lkn ktk swala la budget hapo umepoteza maana kabisa ya hoja zako! Huwezi linganisha idara zetu zote na budget ya KDF! Haiingii akilini ata siku moja!

Jeshi lenu liko na mapungufu mengi sn na tunayajua!
 
indeed they are very motivated to the extent of looting and drinking while on their very sensitive mission..
 
I dont know about your news sources but mine didn't indicate deployment of any military personnel to the said Island. Ama utaniambia wale vijana wa nne wa westgate walionyesha inferiority ya KDF? Am not proud that my countries military is ranked amongst the best in Africa while we still have people dying of hunger and manageable ailments in Kenya, but comparing KDF to JWTZ is an insult to anyone who has done abit of research on military capabilities in the African continent.

Hakuna research ile unayoweza fanya Kwa jeshi la mwenzio Na ukifanya utakuja na majibu nusu! Huwezi kwenda deep ktk Hiyo research!

Alafu ukitaka ujue uwezo Wa JWTZ Muulize Museven na Kagame Na Uhuru! Na ujiulize ni kwanini Uhuru na Museven wamelegeza msimamo wao Wa kuitenga Au kuitoa Tz ndani EAU?
 
Acha uongo! Ulikua unaongea vitu vya msingi lkn ktk swala la budget hapo umepoteza maana kabisa ya hoja zako! Huwezi linganisha idara zetu zote na budget ya KDF! Haiingii akilini ata siku moja!

Jeshi lenu liko na mapungufu mengi sn na tunayajua!

Mkuu, sababu kuu ya kuandika nilichoandika ni kuonyesha kuwa allocation iliotengewa jeshi letu ni kubwa sana compared na lenyu, hata kama hatuna idadi kamili. Its not a factual statement but at least you got what I was insinuating. Am not a war enthusiast, so sina raha sana nikiona serikali yangu ikitenga hela nyingi kwa wanajeshi kuliko idara nyingi muhimu kwa mwananchi wa kawaida, lakini ukweli lazima usemwe.
 
Aise kaka unadhani strategically mnatushinda viwanjani? you will always play second fiddle to us, thought you had already adjusted to the second or third position.

Wewe unafikiri Tuko na viwanja viwili tu eeeeee?

Tuko na viwanja kila mkoa na vinafanya Kz vizuri tu!

Tena Kwa jeshi la anga Na nchi kavu mtapotea kabisa!
Na majini ndio usiseme!

Kamuulize Kanali Bakary Kule Comoro nini kilimkibiza?
 
LIBYA HAKUNA JESHI Pale ..lililokua na nguvu by then ni la Ghadaf,hivi sasa kuna vikundi vya wanamgambo tu.

Ni kweli,wakati wa vita vya kagera Gadafi alileta kikosi kizima uganda,JWTZ waliwaweka chini wakaja hifadhiwa Gereza la Butimba Mwanza kama mateka wa Vita,Libya hakuna kitu kabisa!,ni propaganda tu hizi!
 
hahahaha bado uko haya ya westgate? walio kua wakiiba walishikwa na kuadhibiwa na mali ya watu ikarudishwa. tafauti yetu na yenyu ni media, our media exposes everything, so jambo kama hili lingetokea Bongo (mungu aepushe) the world would never have learnt bout it.. we dont live in the past, we learn from it and move on... Unlike you guys, still talking about the previous EAC and liberating South african countries.. come on guys

Hamna Cha kujivunia ndio maana sisi tunajivunia Kwa Yale tuliyofanya SA ata East Africa bila sisi hamuwezi chochote!
 
Hakuna research ile unayoweza fanya Kwa jeshi la mwenzio Na ukifanya utakuja na majibu nusu! Huwezi kwenda deep ktk Hiyo research!

Alafu ukitaka ujue uwezo Wa JWTZ Muulize Museven na Kagame Na Uhuru! Na ujiulize ni kwanini Uhuru na Museven wamelegeza msimamo wao Wa kuitenga Au kuitoa Tz ndani EAU?

hahahaha wanipa raha weye. wamaanisha ustadi wenyu wa kijeshi ndio uliomfanya Uhuru na kagame walegeze msimamo wao wakuitenga TZ, ni aidha wewe si msomi wa current affairs ama you are living in your own world.

Nakubaliana na wewe kuwa huwezi research jeshi la mwenzako ukaja na conclusive results, lakini kuna mambo yako hadharani ndio tunayo ya discuss. sina ubaya eti.
 
Back
Top Bottom