Most Powerful Militaries in Africa

Km Mmeanza kutenga pesa nyingi na kujenga jeshi lenu ni siku Hizi! Jeshi letu limekua linajengwa miaka yote na hauwezi ukapata Figure kamili ya Sum of
Money! Kwa Hiyo huo mlinganisho wako Bado hauko sahihi!
 
Sasa ukiijua sababu ya Uhuru na Kagame kuitenga Tanzania kwenye hii jumuia Ndo utajua na sababu ya kwanini walilegeza huo msimamo wao!

Unafanya mchezo na Tz wewe?!
 
Sasa ukiijua sababu ya Uhuru na Kagame kuitenga Tanzania kwenye hii jumuia Ndo utajua na sababu ya kwanini walilegeza huo msimamo wao!

Unafanya mchezo na Tz wewe?!

Sifanyi mchezo na TZ, tumekuja kujadili takwimu hizi nanyi mme pinda mada ikawa kama kawaida us versus them. sina ubaya na Tanzania mie, lakini ukweli usemwe bana, JWTZ halioni hata chembe kwa KDF, wakina Live fire wamebobea sana kwa haya mambo mie ni spectator tu.
 
Siku zote MUAMBA NGOMA huvutia kwakwe! Ni lazima wewe useme KDF na Mimi ntasema JWTZ Kwahiyo Ndo ivyo!

Huwezi pata Taarifa kamili za Kuhusu jeshi lolote!
 
Kenyan u will never understand TZ until u become good friend, Dunia inatambua jinsi tulivyopinga unyanyasaji wa kikolon.....JWTZ wako na nidham bila nidham KDF will never be the best ni "WIZI" shame on u.
 
Aise kaka unadhani strategically mnatushinda viwanjani? you will always play second fiddle to us, thought you had already adjusted to the second or third position.

Nipe mifano kama kweli mko njema ktk strategies
 
Idd Amin alikuwa na vifaa vingi vya kisasa ila mbinu hakua nazo....Kenyan should not underestimate TZ.
 
Idd Amin alikuwa na vifaa vingi vya kisasa ila mbinu hakua nazo....Kenyan should not underestimate TZ.

Dont get it twisted, Kenya is not underestimating TZ, most of us are just civilians trying to discuss an issue that we have little to no grasp on, its not like the Kenyan goverment is saying that JWTZ sucks balls, no, its akina Smatta voicing their lay man opinion that their army is better citing articles available freely in the Internets.

Nduli Idi Amin alikua na vifaa gani vya maana?
 
Idd Amin alikuwa na vifaa vingi vya kisasa ila mbinu hakua nazo....Kenyan should not underestimate TZ.

Mkuu Dhana za kisasa zipo Na wataalamu wengi sana wapo! Yani Tupo kamili kila wakati na kila saa na popote pale!
 
Nduli Idi Amin alikua na vifaa gani vya maana?
Aliizidi Tz kwa Model 2 za MiG na Tupolev Tu-22 ambazo TZ hazikuwepo!! Alikuwa ta Vifaru T-54 na 55 ambavyo ni juu ya JWTZ! aliizidi TZ kwa BM model ambazo hata hivyo zilitekwa zikageiuziwa kwao! Alipewa msaada wa wanajeshi kama 2,500 from Libya na vifaa vya kisasa pia ila still JWTz walisimama imara! Nahisi nimekujibu kuwa I. Amin alikuwa na vifaa gani vya kisasa!!
 
Aise kaka unadhani strategically mnatushinda viwanjani? you will always play second fiddle to us, thought you had already adjusted to the second or third position.
Strategies zipi mlizonazo ninyi wa-Kenya? Sidhani kama mngekuwa na jeshi zuri mngehangaika kiasi hicho na Al-Shabab!! Mpaka leo bado hamjaweza kuwatokomeza hao watu. Kwa ufupi jamani hamna jeshi ninyi!!
 
Kweli waafrika tuna matatizo. Matumizi ya kijeshi hayajengi nchi. Hivi kuna sababu ya mtanzania kusononeka kuwa Kenya hipo juu?
 
Nimeipenda Sana hii ya KENYA DRINKING FORCE (KDF) jinsi walivyopiga ulabu pale Westgate!

Sitaki kuamini kama hili jeshi nalo huitwa powerful.
Isingewezekana kwa hali yeyote JWTZ wakae pale Westgate siku nne!
 
Kama Kenya ipo nafas ya sita basi nafasi ya tano utangulie Somalia,hahahah watu wanne siku nne jeshi zima,polis,wings na special task forces!!!! Shame in u kenyans
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…