papa anayevutia
Senior Member
- Sep 5, 2012
- 153
- 52
Kama Kenya ipo nafas ya sita basi nafasi ya tano utangulie Somalia,hahahah watu wanne siku nne jeshi zima,polis,wings na special task forces!!!! Shame in u kenyans
Sasa vile visomali vinne mbona viliwashinda? Afu naskia vilisepa safely.kenya wamenunua stealth fighters rafale jets toka ufaransa na modified f-15e toka israeli,attack choppers wako na mil-28 na kamov 50 toka urusi,Z-WE harbin toka uchina,MD helicopters a.k.a yy choppers from USA. BDRM scout cars toka Russia,wild cat armoured carriers toka israel na puma armoured cars toka South africa,drones pia wanazo kwa hivyo siwa kuchezewa kwa ukanda huu.source google david goldman ukiweka kila moja nilichotaja, david is a defence analyst.
Sasa vile visomali vinne mbona viliwashinda? Afu naskia vilisepa safely.
Teh Teh......yahitaji busara kubishana na mjinga,kwanza muulize vifaru aina ya T-54 na 55 ni vidibushwa vya aina gani,asije akakwambia hivyo vifaru vipo Serengeti mbuga wanaodai kuwa ni yao kwa 100%Aliizidi Tz kwa Model 2 za MiG na Tupolev Tu-22 ambazo TZ hazikuwepo!! Alikuwa ta Vifaru T-54 na 55 ambavyo ni juu ya JWTZ! aliizidi TZ kwa BM model ambazo hata hivyo zilitekwa zikageiuziwa kwao! Alipewa msaada wa wanajeshi kama 2,500 from Libya na vifaa vya kisasa pia ila still JWTz walisimama imara! Nahisi nimekujibu kuwa I. Amin alikuwa na vifaa gani vya kisasa!!
7.LIBYA
6.KENYA
5.ALGERIA
4.NIGERIA
3.SOUTH AFRICA
2.ETHIOPIA
1.EGYPT
MJUMBE HAUWAWI....
Source:Most Powerful Militaries in Africa | AFKInsider
The Global Fire Power ranking, or GFP, measures countries military strength and assigns a power index number in order to compare them to other countries. Many factors are taken into consideration, and smaller countries can compete with larger ones due to points given for refinement and technological advancemen - See more at: Most Powerful Militaries in Africa | AFKInsider
teh teh......yahitaji busara kubishana na mjinga,kwanza muulize vifaru aina ya t-54 na 55 ni vidibushwa vya aina gani,asije akakwambia hivyo vifaru vipo serengeti mbuga wanaodai kuwa ni yao kwa 100%
poor kenyans, kamuulize kenyata kwanini baba yake alikuwa anaihofia sana tanzania hata kuliko mareaki na urusi?
hahahaha bado uko haya ya westgate? walio kua wakiiba walishikwa na kuadhibiwa na mali ya watu ikarudishwa. tafauti yetu na yenyu ni media, our media exposes everything, so jambo kama hili lingetokea Bongo (mungu aepushe) the world would never have learnt bout it.. we dont live in the past, we learn from it and move on... Unlike you guys, still talking about the previous EAC and liberating South african countries.. come on guys
hahahaha wanipa raha weye. wamaanisha ustadi wenyu wa kijeshi ndio uliomfanya Uhuru na kagame walegeze msimamo wao wakuitenga TZ, ni aidha wewe si msomi wa current affairs ama you are living in your own world.
Nakubaliana na wewe kuwa huwezi research jeshi la mwenzako ukaja na conclusive results, lakini kuna mambo yako hadharani ndio tunayo ya discuss. sina ubaya eti.
hadi jeshi la Kenya nakataa, lililoshindwa westgatena kulipua jengo na kusingizia wameua magaidi watano kumbe magaidi walikuwa wanne hawakuua hata mmoja zaidi ya kuuana wao kwa wao, jeshi halina nidhamu acha utani kabisa...
False info. hiyo wacha nikupe maono yangu .....
Jeshi Libya = Lilishindwa na vijana wakasambaratishwa. Jeshi la Kenya = Lilshindwa na vijana wane(4) wa ALSHBB KDF ikagaragara!! jeshi la Nigeria = Lina haha kwa BK. Jeshi La SA = Ni la kukodisha (merecneries) Jeshi la Ethiopia = kiboko yao AlSHBB. hakuna lolote isipokuwa propaganda tu!!
Mkuu Zanishaha Ubarikiwe... La Ajabu utakuta BAJETI ya wizara ya ULINZI (jeshi) ya nchi husika asilimia kubwa kutumika kwa for Defence !!.... Na kila aina ya huduma inaelekezwa jeshini, dedekazo za hali ya juu hutandaziwa Jeshini !!True mkuu hasa hapo kwa kenya,westgt issue imeonesha failure kubwa kwa wanajesh wa kenya,yaan aibu tu,ukichek makala maalum ya jicho pevu,aibu tu,