Most streamed artists in Africa, Why no Kenyan?

Mleta uzi wewe ni mjinga sana. Kwahiyo unataka kwa sababu wana internet penetration kubwa sana waitumie ku stream nyimbo. Tanzania tutaendelea kuwa wajinga.
Chunga usinyanganywe uraia wako na ubandikwe uria upya uitwe mkenya kwa jinsi ulivyoongea
 

Wapi Ali Kiba???[emoji15][emoji15][emoji15][emoji15]
 
Kwa hivyo afrika kusini haipo sub-Saharan Africa?!?! Wah!! 😂 😂 😂 😂 And you are just asking this with a lot of confidence. Hivyo ndio mnafundishwa saint kayumba preparatory?

Aisee, JF kutojua kitu na kuuliza inaonekana ni upumbavu na uzwazwa!

Umeshindwa kunijibu vizuri kweli!
 
Acha twende nao hvo hvo, mmoja eti anasema diamond kafikisha view 23m ndani ya wiki 3..

Kumbe anasahau km mchango wa koffi ni mkubwa sana katima ule wimbo..
Ona ulivyo Popoma
Huyo Kofii.anasherehekea kufikisha 100K
Kwa Siku 2
Niambie wimbo gani wa Kofii Amefikisha hata 5Ml kwa Mwezi?
 
Kwa hivyo hata South Africa na Misri ambao hawana wasanii kwenye hiyo list pia wanacook data zao za internet penetration? Reasoning yenu ni ya ujinga sana!
Unawataja as if ni rika lenu[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Unawataja as if ni rika lenu[emoji23][emoji23][emoji23]
Answer that simple question badala ya kuleta feelings hapa. Hao SA na misri pia wanacook data zao kama Kenya?
 
Koffi huyu huyu aliyekuwa na followers laki saba halafu baada ya wimbo kutoka akafanikiwa kufikisha followers 1M!

Wanaokupiga spana huwa wanakuonea tu.
Sasa kwn uongo, niletee wimbo wa diamond na wale vikaragosi wake wa wasafi uliofanikisha hilo..

Alafu ujue followers sio kitu, mi mwnywe nilimjua koffi kutoka utotoni lkn sijawai hta search account yake insta wacha ku-mfollow..
Koffi ni legendary bana africa nzima na nje pia katikisa
 
Ona ulivyo Popoma
Huyo Kofii.anasherehekea kufikisha 100K
Kwa Siku 2
Niambie wimbo gani wa Kofii Amefikisha hata 5Ml kwa Mwezi?
Hilo halibadilishi km yeye ni lengendary na anajulikana kote kote..

Kufanya collabo na koffi lazima utapiga hela kwn mondi unafikiria ilkua halijui hilo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…