Acha kujichanganya mzee,
Tanzania is ahead of Kenya in Democracy indices.
Hakuna Mtanzania Anae admire siasa za kikabila za Kenya,
I may admit that many Tanzanians Love Uhuru only because The Dude is Kind and has Good Heart, but When it comes to Leadership he is Very incompetent,
You will never compare Your Mlevi, Thief Uhuru to Jembe Magufuli who is now Mentioned in the Entire World for his nonsense Approach, Never Ever,
Eti Democracy my Dick, Mnachinjana mamia kwa mamia kila uchaguzi, where is Chris Msando? Kenya is a shithole country, Kikuyus are there to make sure that Luo never Lead Kenya.
Kwa sasa hivi hapa Afrika hakuna anayemfikia rais Uhuru kwa upatanishi, diplomasia na jitihada zake kwenye uwiano, binafsi mimi hapa ni mmojawapo wa ambao humuunga mikono, lakini mara nyingi nimejikuta napata hasira jinsi anaachia misimamo na kupatana na kila mtu.
Tumemuona akimpokea kiongozi wa upinzani Raila Odinga na kuendana naye vizuri tu na kusababisha wafuasi wa pande zote mbili kukumbatiana, tumemuona akivumilia uchokozi wa kila aina uliokua unatokana na rais wenu, yaani amevumilia kiburi cha kiongozi wenu, akajishusha na kuonyesha ukomavu wa hali ya juu wa kisiasa na kidemokrasia, leo hii Watanzania na Wakenya wanashirikiana kwa kila hali na mali, ukiondoa malofa ambao hupigiana makelele humu JF.
Pia vivyo hivyo kwa majirani zetu wengine, amechokozwa kwa njia zote ila amefaulu kupangua mzuka wote wa majirani uliokua unaendeshwa na chuki na kiburi, leo hii tunashirkiana sana, amefaulu hata kupenya Ethiopia ambao walikua hawaingiliki.
Tukiangalia kwa nchi yenu leo hii mnagawanyika kupita ilivyokua awali, tumeona Watanzania wanasheherekea kukamatwa kwa ndege, tumeona wengine wanasherekea timu ya taifa kufungwa kisa CCM imetwaa kila kitu na kukifanya cha chama, chembe chembe za ukabila na ukanda zimewanyemelea kupita wakati mwengine wowote, nimeona hata humu nyuzi zinaanzishwa na Wasukuma wakijisifu na kutambia Watanzania wengine.
Nimeona na kubaki kinywa wazi kwa mshangao hotuba zinatolewa za kuponda watu waliopo kwenye majimbo ya upinzani za kuwakumbushia kwamba maendeleo kwao yamechelewa kisa walichagua wabunge wa upinzani, huku mkichomekea kwamba maendeleo hayana chama.
Polisi wanafanya kampeni za chama cha CCM bila aibu wala kuwajibishwa