Tetesi: Most tanzanian University students love president uhuru Kenyatta these are the reasons

I am a Tanzanian and this is what I see Kenya under UK and Tz under JP
You might be a century stupid and your more biased #can you recall what happened during Kenyan election when the ICT director was killed Mjinga sana wewe ninyi ndio wajinga wachache wanaoichafua Tanzania. Stupid
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Tanzania kuna watu wa aina hii? Hivi mnatamani fisadi, mkabila na mwizi wa ardhi?
1.Magufuli anasifiwa na Transparency international (NGO) kwa uwazi wake na vita dhidi ya ufisadi.
2. Worldbank wanamsifu wa miradi yake yenye tija
3.Democracy index bado Tz Ni kinara Afrika

Mnatamani "Freedom" ipi? Uhuru wa kuiba? uhuru wa siasa za kikabila? Uhuru wa kuuana kila baada ya chaguzi? Uhuru wa kuchoma biashara za wenzio eti maadamano? Uhuru wa kuiba kura? Uhuru wa kutisha majaji waki batilisha chaguzi? Uhuru wa viongozi kujilipa mishahara minono? - Hii ndio taswira ya kenya..
 
Tuntaka uhuru wa kutekana
 
You might be a century stupid and your more biased #can you recall what happened during Kenyan election when the ICT director was killed Mjinga sana wewe ninyi ndio wajinga wachache wanaoichafua Tanzania. Stupid
Mjinga mamako na mliompiga lisu risasi
 
Wakenya wako vizur ktk democracy, Watanzania tupo under silent dictatorship regime
 
Bro unaropoka sana punguza wacha kuropoka.
Kenya hakuna democracy..
Kuna massive political killings mathalan ya 2007 mpk Uhuruto akapelekwa ICC.
Kenya kazi na welfare hutolewa kikabila na nepotism unafaham democracy???
Rudi ukasome democracy.
Wakenya wako vizur ktk democracy, Watanzania tupo under silent dictatorship regime
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…