Most Tz problem begin with letter P

President
Prime minister
Parliament
Pussy
Pornography
 
Dada ladyfurahia nimekafurahiaje kawimbo kako ni kazuri, mpaka naanza kusinzia.

Dada yangu mpenzi labda unikumbushe leo tupo hapa pub iko pande za wapi,siwezi kukosa kwa kweli.
 
Last edited by a moderator:
Dada ladyfurahia nimekafurahiaje kawimbo kako ni kazuri, mpaka naanza kusinzia.

Dada yangu mpenzi labda unikumbushe leo tupo hapa pub iko pande za wapi,siwezi kukosa kwa kweli.

kumbe na wewe utakuwepo huko
usimwangusge dada yangu ladyfurahia
 
Last edited by a moderator:
kama uko DAR BONGO SALAMA basi hiyo PUB iko maeneo ya Mwananyamala kisiwani ukishuka Mwananyamala A, unaenda mbele kidogo kuna shule ya msingi kisiwani, ukifika tu hapo mshtue kaka Mtambuzi au mm tutakuelekeza au kwa maelezo zaidi niPM kule nikupe utaratibu, je uko tayari kuimba tukuweke kwenye list ya waimbaji kwani bado mchakato wa kuwatafuta unaendelea, hivyo wahi bestito nafasi kabla obama hajaja list itakuwa imejaa
Malkia bado nasubiri jibu hiyo Pub iko pande za wapi, maana sisi wengine sio wataalamu sana wa sehemu hizo.
 
Last edited by a moderator:
nashukuru kwa kuupenda wimbo wangu anza sasa kukariri hayo maneno kwani nitawafundisha siku ile ya tamasha la furaha pale leo tupo hapa pub jinsi ya kufika kama uko dar es salaam, panda magari yanayoenda mwananyamala waombe wakushushe mwananyamala shuleni kisiwani, ukifika hapo tutakuja kukuchukua usiwe na shida kwani ni barabarani tu hapo kuna mabajaji mwanzoni fuatisha hiyohiyo barabara mbele mkono wa kushoto kuna pub imeandikwa leo tuko hapa pub nitamwambia kaka Mtambuzi aje kukuchukua hapo usijali ila kwa maelezo zaidi niPm best
Dada ladyfurahia nimekafurahiaje kawimbo kako ni kazuri, mpaka naanza kusinzia.

Dada yangu mpenzi labda unikumbushe leo tupo hapa pub iko pande za wapi,siwezi kukosa kwa kweli.
 
Last edited by a moderator:
Dada ladyfurahia katika vitu vyote Mungu alivyonijalia namshukuru kwa kweli lakini sauti ya kuimba aliniambia amewapa wenzangu hivyo nisiwe na wivu. Nami bila hiyana nikamwambia nashukuru sana kwa ila nikiwa na hamu ya kuimba nitawasikiliza wenzangu tu.

Nashukuru dada lazima nitie timu, kumbe hilo eneo nalifamhamu niliwahi kuwa na kajumba huko zamani.
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…