Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dada ladyfurahia nimekafurahiaje kawimbo kako ni kazuri, mpaka naanza kusinzia.umeshaichukua ile picha ya Mtambuzi ngoja nimwambie mwenyewe naye, hivi unaujua wewe ni wapekee sana hivyo unakaribishwa kwenye shindano la kumsaka msanii bora wa chitchat 2013 tarehe 6/7/2013 litafanyika pale leo tupo hapa pub uwepo wako ni wa muhimu asana karibu sana bila ajizi na wimbo ni huu hapa anza kukariri 1. Ni wakati wa furaha, nderemo na vifijofijo,
wakati wa kujiachia kwa raha zetu,
tukumbukapo huko nyuma tulikotoka na cc jf
viongozi imara walishika hima, kuongoza cc yetu daima
na leo tuko pamoja tukifurahia, uwepo wako na jirani yako
wauonaje best, isingekuwepo chitchat ungemjuaje,
Invisible robot kaza buti mwana, kuimarisha na kuwapa ban
kwa wale wasio na walio wagomvi, wenye kuleta mafarakano
na malumbano yasiyo na msingi wowote, kazi kwako twakupa,
chorus: Tumekuweka mbele yetu, wewe shujaa kiongozi wetu,
endeleza mapambano dhidi ya wale wasumbuao wenzao
huimarishe cc yetu kwa upendo na furaha tele
nasi tufurahi na kuwa pamoja daima x2
2. Rafiki mpendwa wangu wa moyo, niliyekuchagua wewe pekee,
ona jinsi ninavyojitolea kukutumia pm nyingi kwa ajili yako,
Ninaacha kazi na shughuli zangu, nakaa na ipad, laptop yangu,
kukukumbuka na kuchat nawe, kila saa na kila wakati,
nionapo jinalako na avatar yako, macho hujawa na upendo mwingi,
na pale nikuonapo ukinicomment kwenye yangu post,
nabaki kujawa na furaha isiyopimika wala kuwa na mfano.
Napend unapoitikia wito wa kuwa karibu yangu, na kuniona wapekee,
Sina la cha kukulipa basi pokea upendo wangu kwakoBy Mnama![]()
![]()
Vipi tena mama...haaaaaaaaaaaaaa
Dada ladyfurahia nimekafurahiaje kawimbo kako ni kazuri, mpaka naanza kusinzia.
Dada yangu mpenzi labda unikumbushe leo tupo hapa pub iko pande za wapi,siwezi kukosa kwa kweli.
Malkia bado nasubiri jibu hiyo Pub iko pande za wapi, maana sisi wengine sio wataalamu sana wa sehemu hizo.kumbe na wewe utakuwepo huko
usimwangusge dada yangu ladyfurahia
Pipoz Pawa!!
kumbe na wewe utakuwepo huko
usimwangusge dada yangu ladyfurahia
Malkia bado nasubiri jibu hiyo Pub iko pande za wapi, maana sisi wengine sio wataalamu sana wa sehemu hizo.
Sehemu nyingine zote kasoro Pub Malkia wangu, swali jingine?
Malkia bado nasubiri jibu hiyo Pub iko pande za wapi, maana sisi wengine sio wataalamu sana wa sehemu hizo.
Dada ladyfurahia nimekafurahiaje kawimbo kako ni kazuri, mpaka naanza kusinzia.
Dada yangu mpenzi labda unikumbushe leo tupo hapa pub iko pande za wapi,siwezi kukosa kwa kweli.
nishamuelekeza malkia ondoa shaka
Sehemu nyingine zote kasoro Pub Malkia wangu, swali jingine?
Dada ladyfurahia katika vitu vyote Mungu alivyonijalia namshukuru kwa kweli lakini sauti ya kuimba aliniambia amewapa wenzangu hivyo nisiwe na wivu. Nami bila hiyana nikamwambia nashukuru sana kwa ila nikiwa na hamu ya kuimba nitawasikiliza wenzangu tu.kama uko DAR BONGO SALAMA basi hiyo PUB iko maeneo ya Mwananyamala kisiwani ukishuka Mwananyamala A, unaenda mbele kidogo kuna shule ya msingi kisiwani, ukifika tu hapo mshtue kaka Mtambuzi au mm tutakuelekeza au kwa maelezo zaidi niPM kule nikupe utaratibu, je uko tayari kuimba tukuweke kwenye list ya waimbaji kwani bado mchakato wa kuwatafuta unaendelea, hivyo wahi bestito nafasi kabla obama hajaja list itakuwa imejaa
Nitakusubiria usitie shaka.litakuja baadae ila itakuwa kuuule kwa leo asubuhi sio hum!!!!!!