Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naonaga yenye punje namba hiyo najua ni mabovuNi mazima na yenye afya
One of the best contributions from Sky Eclat and Kasie . Nimesoma kila neno kwenye post zenu za uzi huu.
Nimeguswa na kufarijika sana kua mnayakumbuka mazuri tuliyorithishwa na Muumba wetu kabda ya "wachafuzi" wa binadamu na ubinadamu hawajaja kuturubuni
Sasa hivi binadamu hatuli vya asili na muda si mrefu nasisi wenyewe tutaacha kua wa asili, tutakua artificial kuanzia kwenye miili yetu, akili zetu na hata roho zetu!🙆♂️🙆♂️🙆♂️
Maisha yanatupeleka speed Kasie wetu. Watu tupo very busy, and sometimes for nothing!!😀Humbled 🙏.
Long time no see you friend.
Maisha yanatupeleka speed Kasie wetu. Watu tupo very busy, and sometimes for nothing!!😀
Nasaha zangu kwako asubuhi hii;
We live only once. Live well
I concur ,Naomba ni- nasaha vile ninaishi....
We live everyday we are granted to stand on our feet.
We’ll die once (the unknown time and date).
I daily consume my daily day, that’s all I have and am sure of.
Giving priority myself and those who are within my first circle.
🥂.
I concur ,
Maisha ni jinsi utakavyo ya perceive. Ukiya complicate yataku treat the same
Na juu ya yote lets all preserve mother nature. Tumeona beautiful pictures za natural vegetation na roho zetu zimesuuzika. We shouldn't ruin the very universe we are all living in