Pongezi kwa timu ya Simba kwa ushindi mnono walio upata Jana dhidi ya timu ya Horoya.
Lakini pongezi za kipekee kwa Rais Dkt Samia kwa kuchochea ari kwa wachezaji kwa ahadi ya 5million kwa kila goli.
Kauli hiyo imeongeza ari kubwa kwa wachezaji kucheza kwa kujituma na kupata ushindi.
tunajifunza kuwa motisha ni kitu muhimu popote pale ili kuongeza tija na matokeo.
Simba mbovu na Horoya mbovu!Pongezi kwa timu ya Simba kwa ushindi mnono walio upata Jana dhidi ya timu ya Horoya.
Lakini pongezi za kipekee kwa Rais Dkt Samia kwa kuchochea ari kwa wachezaji kwa ahadi ya 5million kwa kila goli.
Kauli hiyo imeongeza ari kubwa kwa wachezaji kucheza kwa kujituma na kupata ushindi.
tunajifunza kuwa motisha ni kitu muhimu popote pale ili kuongeza tija na matokeo.
Acha siasa kwenye mpira wetu weyePongezi kwa timu ya Simba kwa ushindi mnono walio upata Jana dhidi ya timu ya Horoya.
Lakini pongezi za kipekee kwa Rais Dkt Samia kwa kuchochea ari kwa wachezaji kwa ahadi ya 5million kwa kila goli.
Kauli hiyo imeongeza ari kubwa kwa wachezaji kucheza kwa kujituma na kupata ushindi.
tunajifunza kuwa motisha ni kitu muhimu popote pale ili kuongeza tija na matokeo.
Hii hata mbunge wa jimbo ameshindwa kuchimba visima vya kisasa?

Wananchi tutajuta kwanini tumezaliwa TZ na tuliletewa uhuru na YANGA FC.Leo tutakoma humu na threads za makolo
Leo tutakoma humu na threads za makolo