Motisha ya Mh. Rais Samia yachochea ushindi wa bao Saba za simba

zandrano

JF-Expert Member
Joined
Jan 24, 2017
Posts
7,893
Reaction score
8,816
Pongezi kwa timu ya Simba kwa ushindi mnono walio upata Jana dhidi ya timu ya Horoya.

Lakini pongezi za kipekee kwa Rais Dkt Samia kwa kuchochea ari kwa wachezaji kwa ahadi ya 5million kwa kila goli.

Kauli hiyo imeongeza ari kubwa kwa wachezaji kucheza kwa kujituma na kupata ushindi.

tunajifunza kuwa motisha ni kitu muhimu popote pale ili kuongeza tija na matokeo.
 
IMG_20230319_081236.jpg

Endeleeni kukenua nchi tajiri sana hii.
 
Pongezi kwa timu ya Simba kwa ushindi mnono walio upata Jana dhidi ya timu ya Horoya.

Lakini pongezi za kipekee kwa Rais Dkt Samia kwa kuchochea ari kwa wachezaji kwa ahadi ya 5million kwa kila goli.

Kauli hiyo imeongeza ari kubwa kwa wachezaji kucheza kwa kujituma na kupata ushindi.

tunajifunza kuwa motisha ni kitu muhimu popote pale ili kuongeza tija na matokeo.
Simba mbovu na Horoya mbovu!
Mama potezea kiaina!
 
Pongezi kwa timu ya Simba kwa ushindi mnono walio upata Jana dhidi ya timu ya Horoya.

Lakini pongezi za kipekee kwa Rais Dkt Samia kwa kuchochea ari kwa wachezaji kwa ahadi ya 5million kwa kila goli.

Kauli hiyo imeongeza ari kubwa kwa wachezaji kucheza kwa kujituma na kupata ushindi.

tunajifunza kuwa motisha ni kitu muhimu popote pale ili kuongeza tija na matokeo.
Acha siasa kwenye mpira wetu weye
 
Leo tutakoma humu na threads za makolo
Wananchi tutajuta kwanini tumezaliwa TZ na tuliletewa uhuru na YANGA FC.

Bado nyuzi za;

✓ Simba tunataka kupangwa na Mamelody Sundowns, Esperance ya Tunisia au timu yoyote robo fainali.

✓ Chama ni Mchezaji bora Africa wa muda wote.

✓ YANGA FC watafungwa goli 7 - 0 leo na Monistair FC

✓ Simba ni Real Madrid FC kiubora Africa. [emoji28]

Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
 
Leo tena yanga nae aampe mtu goli za kushangaza nchi iendelee kufurahi
 
Kumbe Tanzania tunaweza tukiamua.

Pongezi nyingi kwa timu zetu za Simba na Yanga kwa kuingia robo fainali.

Mwendo huo huo msilegeze
 
Back
Top Bottom