Mbimbinho
JF-Expert Member
- Aug 1, 2009
- 8,328
- 7,784
Wacha kukatisha watu tamaa
Wengi tu wanafanikiwa na wako inspired kwa kusoma na kupitia vitabu mbalimbali
Mimi tu nimejianzisha biashara na inaenda vizuri baada ya kusikiliza speech za waliofanikiwa katika ujasiliamali
Ukishindwa wewe ni wewe na sababu zako huko, tafadhali pambana na hali yako!
Unaweza kuwa umeshajikana mwenyewe bila kujua.